Where is Kikwete (Kikwete yuko wapi?)

Where is Kikwete (Kikwete yuko wapi?)

Hatia inamtesa... pia ipo wazi ndiye kiongozi wa wahuni gang.. a.k.a wanamtandao... ana shutuma nzito lazima ajifiche tu...
Hana sababu ya kujificha.
Kama kuiba ameshaiba vingi, huenda kuzidi hata mahitaji yake kiasi kwamba haelewi hata afanye nini na mali alizoiba serikalini.
 
Hana sababu ya kujificha.
Kama kuiba ameshaiba vingi, huenda kuzidi hata mahitaji yake kiasi kwamba haelewi hata afanye nini na mali alizoiba serikalini.
kuiba kwake hakumfanyi asijihisi hatia, aibu na uoga kwa kile ambacho amefanya..

Kumbuka kwamba Polepole ni mwana CCM , alikuwa hasizingizii yale yote aliyozungumza online.... JK alihujumu uongozi wa JPM na alihusika na vifo vya viongozi awamu ya JPM aliwemo JPM mwenyewe.. tuhuma nzito sana hizo..

Hapo lazima uogope...
 
Huyo Polepole naye alikuwa mnafiki tu.

Ki msingi Sihitaji maneno ya Polepole au mwingine yoyote kutambua kwamba JK is an evil man who is recently backing up that woman from Isles
 
Huyo Polepole naye alikuwa mnafiki tu.

Ki msingi Sihitaji maneno ya Polepole au mwingine yoyote kutambua kwamba JK is an evil man who is recently backing up that woman from Isles
Ni sahihi, ni mawazo yako, kuna ambao walisikia habari za chini chini pasipo uhakika Polepole ni kama alikuja kuweka uhakika... na wengi waliamini...

Hizo shutuma zinatosha kabisa kumfanya JK ajifiche huko alipo.. before uchaguzi haramu alionekana kwenye shughuli za kiserikali na mikutano ya chama hadi watu wakahoji anafuata nini? Mbona muda wake wa uongozi umeisha?

Baada ya yote yaliyotokea ikiwamo 29 Oct, haonekani hovyo... huo ugomvi ni wa ccm dhidi ya ccm, hadi Polepole anajitokeza kuzungumza ujue alikuwa na support ya wana ccm wengine ambao bado wapo chamani pengine hawajajidhihirisha misimamo yao...
 
Rizi hawez kupata urais kwanza 2030 ni zam ya wakristo liaupasuke
Mkuu JK akiamua Riz awe anakuwa bila kujali zamu sijui ya nani. Nadhani unaona wakatoliki wanavyopigwa zengwe siku hizi.

Ni kuomba tu JK abadilishe msimamo juu ya urais wa 2030 maana hatuna chombo cha kuzuia uovu, mi tangu jeshi lihusike kututembezea risasi raia October 29 sina Imani kabisa na vinavyoitwa vyombo vya ulinzi na usalama
 
Hakuna kitu kama hicho, kwasasa ndiyo mzee wa ovyo kuliko wote ni vile mfumo unamvumilia tu. Pia amechangia pakubwa sana kumpoteza s100
 
Hakuna kitu kama hicho, kwasasa ndiyo mzee wa ovyo kuliko wote ni vile mfumo unamvumilia tu. Pia amechangia pakubwa sana kumpoteza s100
Ni kweli uhovyo wake hakuna mtu asiyeujua ila vyombo vyetu wanatumikia matumbo na si nchi tena, na amani wangetanguliza maslahi ya taifa mbele tusingefikia hali tuliyonayo mpaka Sasa kama taifa. Tumekuwa taifa la kutolewa mifano mibaya kuliko wakati mwingine wowote na inaonekana hatuna wazalendo kutoka vitengo nyeti vya ulinzi na kama wapo aidha wamezidiwa ujanja na wezi au wameamua iwe hivi.

Mzalendo aliyeko Ccm kwasasa ni kama Mzee Warioba pekee na wengine wachache ambao wakisema kidogo unyakuo unakuwa unawahusu mfano Mzee Malisa sijui walimpeleka wapi Mzee wa watu mpaka sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom