NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa.
HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na upinzani.
Hivi kabisa mbinu zake hizi kwa sasa kwanini hawazitumii??
Pia nikikumbuka alivyomjibu kagame kipindi kile huenda ningekua mimi ninge deploy jeshi na kuleta madhara makubwa kipindi hicho.
Hivi mzee kikwete alijifunzia wapi siasa ??,kiasi cha kwamba mwaka 1995 akiwa mdogo matokeo yanatangazwa na yuko sawa emotionally na anamuunga mkono mgombea mwenza huku akiwataka mashabiki wake nao wamuunge mkono aliyechaguliwa.
Je hivi kama ni chuo cha uongozi sasa hivihakipo??
Wabishi camp wote walikua wanakaa chini kipindi cha jakaya na walikua kiroho safi nchi inakwenda.
SIo kwamba mimi nna akili au nna emotional intelligence kama ya jk, ila i wish i could be like him in handling difficult matters.
Pwetelea pwete mi ingekua amri yangu kikwete miaka ijayo angerudi tena