Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kama wa nyumbani kwake wako kimya kiasi hiki ina maana yuko salama huko aliko.
Tofauti na hivyo tungesikia malalamiko I kama ilivyo kwa ndugu zake Polepole.
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"

p
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Hebu tukumbushe kwanza ni lini uliwahi kuambiwa alikokuwa Abood Jumbe mara baada ya kufukuzwa Umakamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzbar. Au ulikuwa bado mtoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom