Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,150
- 126,203
Mm nipo nipo tuu, hata nikifa hakuna wa kunililia 😎Hahaha ila huna kamchango hata kwa ndugu tu Bwashee
Mm nipo nipo tuu, hata nikifa hakuna wa kunililia 😎Hahaha ila huna kamchango hata kwa ndugu tu Bwashee
Kupeana ushauri katika maswala ya maisha ndio mchango wangu.Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake?
Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja.
Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
Wew muongobinafsi napambana ccm itoke madarakani kupitia jamiiforum.
Mimi nilijifunza kupuuza mazee....Safi sana , kuna takataka nilimpa connection ila kwa I'd nyingine ambayo ilikuja kuungwa niliona ananitukana matusi ya nguoni ,ndio maana huo nina dharau sana humu🤗
Mimi hiyo miaka sikuwahi kupendwa kabisa zaidi nikiwafata warembo pm wananibloku daaaaahWengi nimewapa connections za kazi.
Wengi nimewapa vimemo na wakatoboa.
Wengi niliwashauri na wakasogea hatua kadhaa mbele.
Wengi walinitapeli....
Wapo walio nidanganya na kunivuta pesa....
Sema miaka ya 2015 kurudi nyuma Jf ilikua hot 🔥 kinoma.... sikuzile tulikulana kwa heshima na palikua so cool 😎
Ila Jf ilikua na pisi za kwenda alloooo.....😋
Sikuzile tulipendana sana kabla ya huu uvamizi wa Gen-Z
Dah! Mie mchango wangu ni likes, yeah...likes tu kwenye michango ya watu.
Pole sana mkuu, endelea kupambania jagina...😜Mimi hiyo miaka sikuwahi kupendwa kabisa zaidi nikiwafata warembo pm wananibloku daaaaah
Na wameongezeka Sana sikuhizi mtandao umevamiwa na wajinga sanaHao mavija hawana tofauti na mashoga , tuna aina ya vijana wapumbavu sana
Niongeze na mimi niwe kijana wa sita mkuuWewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake?
Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja.
Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
X wamejaa wadwanzi sana skuhiz......Mwanaume kuomba pesa kwa namna yeyote ile ni umang'aa tu , twitter nina inbox zaidi ya 300 vijana wanaomba pesa bora humu kmamke