Kwa hiyo, wanaotafuta kazi waache kulalamika.Hili ni kwel
Nipe mchongo shindii🤣🤣Shindi wangu😁😁😁
Mimi sisemi.Dini imekataza.Komoni ya leo imeiva hadi najionea wivu mkuuWewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake?
Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja.
Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
Athubutu upo hapo kwa mrefu na mtoto wa kimeru umetoka hapo kazini kwako metropoliiiMpaka sasa hivi natembeza hivyo vyombo
Najua unamchango mkubwa tu humu.Ukisikia mtu anakufahamu kuliko unavyojifahamu...hebu nipe ukweli @atoto
Sio roho mbaya mkuu. Ni misimamo na mipangilio tu.Hahahaha una roho mbaya sana bwashee, 😅 wana jamii tunaweza kusema hivi
Nataka nione mchango wako humu ndani shindii. Lasivyo, tutakufuatilia🤣🤣Shindii napelekaje pesa kwenye pesa?🤣🤣🤣
Ngoja nikubali yaishe.Najua unamchango mkubwa tu humu.
Chochote kile kikubwa kinaanza na kidogo, vijana wa siku hizi wanataka waanze na kikubwa, ndio maana malalamiko ya ajira hayaishi.Athubutu upo hapo kwa mrefu na mtoto wa kimeru umetoka hapo kazini kwako metropoliii
Hahahaha acha zako bwashee 😂Chochote kile kikubwa kinaanza na kidogo, vijana wa siku hizi wanataka waanze na kikubwa, ndio maana malalamiko ya ajira hayaishi.
Shindii uko ya ngapi niandae toroli?Asee jf ni jukwaa kubwa mno, unadai una uwezo toa connection kwa madogo , tusijeonekana kama madogo wa twitter wapumbavu tu
You just did in CAPITAL LETTERS!Shindii nina mchango , sema sipendi kujitangaza tu😛