Nimhonge nani mangi, sihongi!!Bwashee, hata kuhonga tu hauna Mchango?
Kwani aliyetaja watu hapa Nani?Sasa kiongozi kama hicho ndio pekee nimechangia nisingizie nimesaidia watu ilihali sio kweli?
Na hata kama kuna watu kwa namna moja ama nyingine nimewanufaisha, ndio niwaanike hapa?
Fafanua, hizi tuhuma ni nzitoo😂Niliwasaidia watu kupata wachumba wa nje ya JF....😁😁
Mbon'tsanu mkeku...Niliwasaidia watu kupata wachumba wa nje ya JF....😁😁
Una hasira za nini sasa bro wangu😊
You are right sirKwani aliyetaja watu hapa Nani?
Watajifafanua wenyewe wakitaka...ila ni siri yetu...😆😆😆kwani kuna ubaya jamani?Fafanua, hizi tuhuma ni nzitoo😂
Nimeondoka huko naona mnanichosha tu mangii😅😅Hahaha bwashee ndio tuseme umeamua kuishi kwenye umri wa 50 na kuona 40 wenzako wajinga?
Hakuna ubaya! Tutakuja pmWatajifafanua wenyewe wakitaka...ila ni siri yetu...😆😆😆kwani kuna ubaya jamani?
Usijali meku...🤣🤣🤣Mbon'tsanu mkeku...
Nitaftie mporaa na mimi.
Wewe unaweza kutembeza hivyo vyombo??Wengi humu wanabagua kazi, wanataka kazi ya viyoyozi na za kukaa ofisini, za kutembeza kahawa, vyombo, nguo hawataki.
Kasemaje huyo pimbi , nimfungulie uzi wa kumrosti kabla sijazima bro🤔