Mküu unaniangusha. kwani wewe umekuwa taahira? mwanaume ni kichwa cha nyumba. Kichwa kinabeba ubongo. Ubongo kazi yake kufikiria. ukishindwa hayo fanya umario tuMimi nna wasiwasi huyu hana hiyo miaka 30!!!
Mwanamke nae akikubali kuolewa na wewe kwa kigezo cha 6*6 tu sijui itakuaje pale ambapo dudu yako itakaposhindwa kazi!!!
Ntakuelewa kwenye uzazi mkuu!!! Ndo maana nasema kama unataka mwanamke wa kukuzalia timu ya mpira basi hao 18 ndo bora kwako!!! Ila jwa wanaohitaji watoto watatu wanaweza patikana ndani ya miaka 10. Wanaume wenzako wanataka watoto wachache sikuizi.....Risk tofauti na uzee. Ninachosema mwanamke mwenye 30 kibaolojia kishazeeka ktk masuala ya uzazi na ngono
Nimemalizia kimoyomoyo miss chagga!wewe ni ...................

ha ha ha safiNimemalizia kimoyomoyo miss chagga!![]()
Ndo hawa wanakuja kutuletea threads baadae... Ooh mke wangu ni mchafu... mke waku hajui kupika... Mke wangu hajui kupanga bajeti... Mke wangu anawasiliana na ex wake...DOGO UNAKOSEA HESHIMA DADA ZAKO ..... NA MI NAKUSHAURI UACHE HAYA MANENO. MIMI NIMEOA ALMOST HUO UMRI. NAKWAMBIA MDADA MWENYE MIAKA 3O NOW, ALIPOKUWA NA MIAKA 21 MAZINGIRA YANAWEZA YALIKUWA NA HESHIMA KULIKO MDADA WA SASA MWENYE MIAKA 21, AMBAYE WEWE WAWAZA KUMUOA AKIWA NA MIAKA 25. KWA KIFUPI TECHNOLOGY IMEWAHARIBU WADOGO ZETU SANA. MWISHO WA SIKU NI KUMWOMBA MUNGU ATUSAIDIE TUISHI KWA FURAHA NA AMANI NA ATUONGOZE. KAMA WEWE WAONGOZWA NA UMRI UNAKOSEA SANA, CHA MAANA UMZIDI KIDOGO. ILA MDADA WA MIAKA 30 ANAWEZA PATA MME MWENYE MIAKA 35 NA WAKAISHI VYEMA TU.
Nasikia Harmorapa alitaka kumposa Wema!!?"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninaye lingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaaa
Mimi nina 30 mpk nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lkn mie moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.
Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mm naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.
Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.
Jumapili njema.
nimekupata Mkuu. Ila inahitaji moyo. Unaenda dukani kwa mangi unatoa hela yako kununua soda unapewa soda iliyo expire. Sawa.Ndo mana nikasema USITAKE MFANANE!!!
hamjazaliwa wote sehemu moja, hamjalelewa na familia moja na hamjasoma shule moja... Exposure ni tofauti sana. Ko fikra zako haziwezi kua sawa kwa wote! Wanaume wengine wanataka kuoa agemates na wengine wanawake waliowazidi umri... Kila mtu ana anachotaka kwa mwanamke wake. Kama wewe unataka ubichi sijui ndo kuzalisha sana hao 18+ watakufaa vizuri tu!!! Ila kuna hao unawataka wamechakaa na wana qumer midebwedo kuliko ata hao maajuza unaozungumzia!!! Muulize Diamond kwanini alimuacha Wema akamfuata Zari.
Utaahira wangu umetokea wapi??? Alafu pitia post zangu zote sijatumia maneno ya ajabu ko tafadhali kama unadeal na mimi husitumie lugha mbovu mkuu!!!Mküu unaniangusha. kwani wewe umekuwa taahira? mwanaume ni kichwa cha nyumba. Kichwa kinabeba ubongo. Ubongo kazi yake kufikiria. ukishindwa hayo fanya umario tu
harmorapa katoka kuparamia mikorosho ghafla kajikuta yuko mjini. Ana ulimbukeni kibao.Nasikia Harmorapa alitaka kumposa Wema!!?
Ata kanga zina rejects ila bado wanunuzi wapo!!! Kama hutaki hao unaowaita rejects kuna ambao wanajua kazi zao ndo maana wanawatakanimekupata Mkuu. Ila inahitaji moyo. Unaenda dukani kwa mangi unatoa hela yako kununua soda unapewa soda iliyo expire. Sawa.
Good point!Ngojea ufike miaka 40 hiyo mashine yako ife ndio utakapojua huyo wa miaka 21 uliomchukua kuwa ulikosea na bora ungechukua wa umri wako,omba uzima tu ndugu,usimkufuru mwenyezi Mungu.
Mkuu unanihukumu bure sikukulenga wewe. Labda kosa langu ni kutumia nafsi ya pili ktk uandishi. Na kwakuwa nilikuwa najibu komenti yako umeitafsiri kana kwamba nakuattack wewe. Naomba usome tena. Sina tabia ya kuattack personalities za watu. Yote kwa yote sorry. Ila naomba uisome tenaUtaahira wangu umetokea wapi??? Alafu pitia post zangu zote sijatumia maneno ya ajabu ko tafadhali kama unadeal na mimi husitumie lugha mbovu mkuu!!!
Achana naeUtaahira wangu umetokea wapi??? Alafu pitia post zangu zote sijatumia maneno ya ajabu ko tafadhali kama unadeal na mimi husitumie lugha mbovu mkuu!!!