Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Mwanaume suruali nani akutake wewe unaishi kwa wazazi unamiaka 30 fyuuuuu kwataarifa yako kuolewa mkosi tu skuiz mijitu ishajipigia punyeto paka limelegea utafkiri la babu mzee kuliamsha paka lisimame masaa matatu alafu goli lenyewe moja bora nisiolewe tu
Wapo walio olewa na wanafurahia ndoa,labda ni mikosi kwako tu
 
Na mm pia siwataki wanaume wa 85 kwenda bado hawajakua na wacheze na vischana mafua then wanakuja kusikitika hapa hapa wanakuta maugali. Chovyeni mauchafu yenu na vischana mafua visivojua ata kuchamba
 
Wanaweka wenye umri mkubwa msiogope, nawapenda sana, mkombozi wenu nipo hapa msihofu..
 
maneno makali ila c kwl miaka 30 sio kwamba k inasinyaa asee sema kupata mtu wa kumuoa ndo kazi.miaka 30 bado analipa kbsa.

inamaan mwenye miaka 30 itabidi mme wake awe na kuanzia 35-40 sasa mwanaume wa umri bado hajaoa au hana mwanamke sio rahisi labda awe kafiwa au kubali kuwa mchepuko tuu

ila kwa dini ya kiislamu bado anaweza akawa na nafac.
Muache kuwakutisha tamaa wadada wa watu kuna mdada kaolewa na miaka 46 nw ana mtoto wa miaka miwili na wanalingana na Mme wake tena wamefunga ndoa yakikatoriki
 
"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninayelingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaa.

Mimi nina 30 mpaka nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lakini mimi moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.

Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mimi naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.

Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.

Jumapili njema.
Atakae sema yalaA ujue imempata
 
Na mm pia siwataki wanaume wa 85 kwenda bado hawajakua na wacheze na vischana mafua then wanakuja kusikitika hapa hapa wanakuta maugali. Chovyeni mauchafu yenu na vischana mafua visivojua ata kuchamba
Kipya kinyemi mkuu. Mtumba utalinganisha na nguo mpya. Mwanamke mwenye 30 ni sawa na chai iliyopoa
 
Muache kuwakutisha tamaa wadada wa watu kuna mdada kaolewa na miaka 46 nw ana mtoto wa miaka miwili na wanalingana na Mme wake tena wamefunga ndoa yakikatoriki
Unaongelea bahati nasibu inayotokea kwa 1 kati ya malaki
 
Huu ujumbe umesononesha wengi, hasa dada zetu. Sio vizuri kuwaumiza wengine kihisia. Ungejua kuwa kuna wadada wanaoumia kisa umri, usingekija na mada ya namna hii.
 
U

nUngenisoma between line ungenielewa!!!
Kwa nini wadada wanaolewa na watu wasiowapenda?ukiacha pesa?UMRI
Kwa nini wadada wanihibebesha mimba ovyo ili waolewe wanabakia kuwa single mom?UMRi
Ulichoongea kuna baadhi ni fact..lakini ni DOGMA inayowafanya wadada kuwa watumwa.

Kuwahi kuzeeka ni maumbile ya mtu tu...I have 32 bt ukiniona ni kama katoto ka secondary!!!
Papuchi kuzeeka pia ni maumbile ya mtu

Science ipo ila haicontrol Universe trust me!!Hayo unayoita fact kwenye nguvu inayocontrol universe are nt Fact..

Kwa nini wadada wanajibebesha mimba makusudi ili waolewe wanaishia kuwa single mama?UMRI
Kwa nini wadada wengi wanaroga sana waolewe..UMRI
Ulichokisema kwenye uzi wako ni Fact lakini ni DOGMA inayowafanya wadada wawe watumwa!!!papuchi kusinyaa mapema inategemea maumbile ya mtu!!kuzaa pia inategemea!!
Science ipo naiamini lakini kuna Unseen world ambayo ndyo ina nguvu kiliko science!!ukiamini umri wako umeenda
Asante kwa chakula cha ubongo Mkuu. Nimeongeza kitu
 
Huu ujumbe umesononesha wengi, hasa dada zetu. Sio vizuri kuwaumiza wengine kihisia. Ungejua kuwa kuna wadada wanaoumia kisa umri, usingekija na mada ya namna hii.
Pitia comment ya Womanity hapo juu amemaliza kila kitu mkuu
 
Kipya kinyemi mkuu. Mtumba utalinganisha na nguo mpya. Mwanamke mwenye 30 ni sawa na chai iliyopoa
Kipya ndo kipi?? Hata ufanye nn hautawesha itafika muda na ww utakuwa retired na watt wazur ndo kwanza wanazaliwa. Ukijielewa bac hamna jipya kikojoleo ndo kile kile
 
Back
Top Bottom