Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

mkuu angalia kauli zako usisahau na wewe unadada mama wadogo au mashangazi na mabinamu wamejazana nyumbani
 
Duu! Kama kigezo chako kikubwa cha kuoa ni activeness ya kwenye 6*6, basi pole sana. Mke au mume ni zaidi ya hicho kigezo chako.
Kigezo kikubwa cha ndoa yoyote ile ni 6*6. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kuoa. Kama unachukuwa mke kwa vigezo vingine basi huyo unanunua mtumishi wa ndani same mtumwa au business partner. A wife must be consumative on bed. Period!
 
Ungejua tuu ukidunda 40s mzee anahitaji kick ili aamke usingejishebedua kihivyo, tena kama ww ndio wale wa vilaji au chips mayai ujue hata 40 ufiki mzee atakua anagomea mlimani hawezi panda mpaka mwisho
Yaani wanadhani wao ndo wako salama zaidi!!! Hajifikirii kwanini wamama watu wazima wanatafuta vijana wadogo? Miaka inavyoenda wanaume mpo kwenye risk kubwa ya kupungua nguvu... Wanawake wanafanyaga kuvumilia tu!!! Wasio na uvumilivu wanatafuta vitoto vidogo viwagegede...
Uliza mabinti wanaotembea na wababa watu wazima wawaambie mechi zao zilivyo!!!
 
Ivi mnadhani kila mwanamke anabadilisha tu wanaume hovyo eenhe!!! Unaweza kuta mtoto ya 18 kaingiliwa na midudu aina nyingi kuliko ata huyo mdada wa 30
Haina shida. Lakini elasticity ya k yake ni nzuri kuliko ile ya ajuza mwenye 30
 
Kigezo kikubwa cha ndoa yoyote ile ni 6*6. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kuoa. Kama unachukuwa mke kwa vigezo vingine basi huyo unanunua mtumishi wa ndani same mtumwa au business partner. A wife must be consumative on bed. Period!
Mahanithi hawaruhusiwi kuoa??? Who said that?
Mimi mbona nataka sana hao unaowaita mahanithi!!!!
 
Kigezo kikubwa cha ndoa yoyote ile ni 6*6. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kuoa. Kama unachukuwa mke kwa vigezo vingine basi huyo unanunua mtumishi wa ndani same mtumwa au business partner. A wife must be consumative on bed. Period!
mkuu sijui unamiaka mingapi lkn ukweli ni kwamba mwanamke si 6X6 only unahitaji mwanzamke mwenye akili ambaye atapanga maisha atakayrku na ushirikiano n wewe akianguka mmoja mmeanguka wote sio kitu kimoja tu ur total wrong dogo fanya research
 
NI
"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninaye lingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaaa

Mimi nina 30 mpk nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lkn mie moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.

Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mm naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.

Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.

Jumapili njema.

UJIELEWI, NI BORA UMUOE IN ACTIVE MKE KULIKO HUYO WA MIAKA 21, BY THE TIME UNA MIAKA 40 YEYE ANA 30, THEN ATAFUTA MWANAMME ACTIVE NA YEYE, MALIPO NI HAPA HAPA MDOGO WANGU. NA HUYO WA MIAKA 21, ANALELEWA NA UNCLE ZAKO WENYE MIAKA 45 - 50. MWANAMKE WA MIAKA 30 AMEJIFUNZA MENGI, AMEJUA MAKOSA YAKE NA ANAWEZA KUWA THE BEST WIFE EVER!!!!! ILA HAMSIKIAGI, NA HAMJIFUNZI MPAKA MUINGIE KWENYE SHIDA.
 
mkuu sijui unamiaka mingapi lkn ukweli ni kwamba mwanamke si 6X6 only unahitaji mwanzamke mwenye akili ambaye atapanga maisha atakayrku na ushirikiano n wewe akianguka mmoja mmeanguka wote sio kitu kimoja tu ur total wrong dogo fanya research
Mimi nna wasiwasi huyu hana hiyo miaka 30!!!
Mwanamke nae akikubali kuolewa na wewe kwa kigezo cha 6*6 tu sijui itakuaje pale ambapo dudu yako itakaposhindwa kazi!!!
 
Kigezo kikubwa cha ndoa yoyote ile ni 6*6. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kuoa. Kama unachukuwa mke kwa vigezo vingine basi huyo unanunua mtumishi wa ndani same mtumwa au business partner. A wife must be consumative on bed. Period!

Umemalizia na neno "Period", Mdogo wangu chukua ujuzi kwa tuliopita huo umri, mke sio 6x6 ....
 
mkuu angalia kauli zako usisahau na wewe unadada mama wadogo au mashangazi na mabinamu wamejazana nyumbani
Dada zangu nimewashauri kuwa wakifikisha umri wa miaka 25 hawajaolewa wasiwaze kabisa kuolewa. Wajijengee maisha yao. Habari ya kwenda kwenye familia za watu halafu wiki ya kwanza tu mnaanza kutafuta dawa za kuamsha hisia za mapenzi, mara vilainishi vya K, mara sijui kusafisha mirija iliyozibwa na wajanja waliokuwa wanasimamia vidole kumpump wakati wa ujana ya nn kusumbua watu.

Mwanamke mwenye 30 ushafanywa sana. Unataka nn tena?
 
Mimi nna wasiwasi huyu hana hiyo miaka 30!!!
Mwanamke nae akikubali kuolewa na wewe kwa kigezo cha 6*6 tu sijui itakuaje pale ambapo dudu yako itakaposhindwa kazi!!!

Msamehe bure huyu hajielewi ...... hajitambui kabisa .... ni wa kuombewa!
 
NI

UJIELEWI, NI BORA UMUOE IN ACTIVE MKE KULIKO HUYO WA MIAKA 21, BY THE TIME UNA MIAKA 40 YEYE ANA 30, THEN ATAFUTA MWANAMME ACTIVE NA YEYE, MALIPO NI HAPA HAPA MDOGO WANGU. NA HUYO WA MIAKA 21, ANALELEWA NA UNCLE ZAKO WENYE MIAKA 45 - 50. MWANAMKE WA MIAKA 30 AMEJIFUNZA MENGI, AMEJUA MAKOSA YAKE NA ANAWEZA KUWA THE BEST WIFE EVER!!!!! ILA HAMSIKIAGI, NA HAMJIFUNZI MPAKA MUINGIE KWENYE SHIDA.
Ndo mana divorce zimeongezeka sana siku hizi!!! Watu tunakurupuka tu likija swala la kuoa!!! Wanaendekeza decisions za kimwili bila kushughulisha akili
 
30 yrs hapo wanaoana wamama kwa wababa. Napenda demu nimzid four years. Huyo dem kuolewa ni shida bcz hana tena matumiz mengi.
 
Yaani wanadhani wao ndo wako salama zaidi!!! Hajifikirii kwanini wamama watu wazima wanatafuta vijana wadogo? Miaka inavyoenda wanaume mpo kwenye risk kubwa ya kupungua nguvu... Wanawake wanafanyaga kuvumilia tu!!! Wasio na uvumilivu wanatafuta vitoto vidogo viwagegede...
Uliza mabinti wanaotembea na wababa watu wazima wawaambie mechi zao zilivyo!!!
Risk tofauti na uzee. Ninachosema mwanamke mwenye 30 kibaolojia kishazeeka ktk masuala ya uzazi na ngono
 
Dada zangu nimewashauri kuwa wakifikisha umri wa miaka 25 hawajaolewa wasiwaze kabisa kuolewa. Wajijengee maisha yao. Habari ya kwenda kwenye familia za watu halafu wiki ya kwanza tu mnaanza kutafuta dawa za kuamsha hisia za mapenzi, mara vilainishi vya K, mara sijui kusafisha mirija iliyozibwa na wajanja waliokuwa wanasimamia vidole kumpump wakati wa ujana ya nn kusumbua watu.

Mwanamke mwenye 30 ushafanywa sana. Unataka nn tena?
Una very litle and wrong knowledge kuhusu mwili wa mwanamke!!! Soma kwanza kabla hujaelimisha wengine
 
Ndugu, je angekuwa dada yako anaanikwa hivi ungejickiaje? Jitahid kutumia busara co kila kikutokacho akilini ni cha kupost. Unajishushia heshima yako
 
Dada zangu nimewashauri kuwa wakifikisha umri wa miaka 25 hawajaolewa wasiwaze kabisa kuolewa. Wajijengee maisha yao. Habari ya kwenda kwenye familia za watu halafu wiki ya kwanza tu mnaanza kutafuta dawa za kuamsha hisia za mapenzi, mara vilainishi vya K, mara sijui kusafisha mirija iliyozibwa na wajanja waliokuwa wanasimamia vidole kumpump wakati wa ujana ya nn kusumbua watu.

Mwanamke mwenye 30 ushafanywa sana. Unataka nn tena?

DOGO UNAKOSEA HESHIMA DADA ZAKO ..... NA MI NAKUSHAURI UACHE HAYA MANENO. MIMI NIMEOA ALMOST HUO UMRI. NAKWAMBIA MDADA MWENYE MIAKA 3O NOW, ALIPOKUWA NA MIAKA 21 MAZINGIRA YANAWEZA YALIKUWA NA HESHIMA KULIKO MDADA WA SASA MWENYE MIAKA 21, AMBAYE WEWE WAWAZA KUMUOA AKIWA NA MIAKA 25. KWA KIFUPI TECHNOLOGY IMEWAHARIBU WADOGO ZETU SANA. MWISHO WA SIKU NI KUMWOMBA MUNGU ATUSAIDIE TUISHI KWA FURAHA NA AMANI NA ATUONGOZE. KAMA WEWE WAONGOZWA NA UMRI UNAKOSEA SANA, CHA MAANA UMZIDI KIDOGO. ILA MDADA WA MIAKA 30 ANAWEZA PATA MME MWENYE MIAKA 35 NA WAKAISHI VYEMA TU.
 
Back
Top Bottom