"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninayelingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaa.
Mimi nina 30 mpaka nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lakini mimi moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.
Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mimi naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.
Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.
Jumapili njema.