Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,441
Mada kama hizi mods muwe mnaziondoa mara moja....mada za kuzalilisha jinsia fulani
Ni kweli kabisa.
Mada kama hizi mods muwe mnaziondoa mara moja....mada za kuzalilisha jinsia fulani
Poa mkuu!!! Sorry pia kama nilikosea kukusoma!Mkuu unanihukumu bure sikukulenga wewe. Landa kosa langu ni kutumia Maddi ya pili ktk uandishi. Na kwakuwa nilikuwa najibu komenti yako umeitafsiri kana kwamba nakuattack wewe. Naomba usome tena. Sina tabia ya kuattack personalities za watu. Yote kwa yote sorry. Ila naomba uisome tena
Awo apo ukienda kanisani kwa Mchungaji Gwajima, utawakuta wengi tuuu wanafanya maombi ya kupata kuolewa,"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninaye lingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaaa
Mimi nina 30 mpk nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lkn mie moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.
Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mm naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.
Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.
Jumapili njema.
Mshabiki wa magambaMadona aliolewa na miaka 54
Shida akina dada mnapenda kusifiwa tu. Hivi kweli kwa moyo wa dhati kabisa tuseme dada mwenye 30 anafaa kuolewa kuliko mwenye 21? Jamani kibaolojia mwanamke akifika 30 ameezeka ktk masuala ya uzazi. Anakaribia Menopause.Kamwambiye Dada yako. Tena shikaadabuyako.
Halafu wanaomba wapate mume mwema. Wamepuyanga weee, wamekula kila style mpk za masikioni lkn sasa wanamuomba mungu awape kijana wa watu ambaye amejitunza. Heee! hata kama mungu siyo Athumani kwa hili hapana. Kijana atakuwa hajatendewa hakiAwo apo ukienda kanisani kwa Mchungaji Gwajima, utawakuta wengi tuuu wanafanya maombi ya kupata kuolewa,
Ofcourse kla mtu analifaam hlo bt naon hakukuw na haja y kuja kuyaeka waz hpa naon umejiskia tu kutka kuwafedhehesha hawa kina dada, na si jambo zurTushindane kwa hoja mkuu. Unajua mwanamke anapata menopause ktk umri gani? Na kinachoambatana na hiyo menopause unakifahamu? Sasa wewe oa huyo mwenye 30+ yakikukuta usije kutuomba ushauri humu. Ndiyo maana michepuko haiishi kwasabb wanaume wengi mnaoa maajuza wanaogeuka kuwa washirika wa maendeleo na walezi wa watoto na siyo wake.
Mkuu tukianza kuangalia masuala ya uvumilivu, wenye ndoa duniani ni wachache sana. Wengi wamekimbiwa na wenzi wao baada ya kupatwa na majaribu ya ajali, na magonjwa. Ni kuomba mungu tu.Mimi nna wasiwasi huyu hana hiyo miaka 30!!!
Mwanamke nae akikubali kuolewa na wewe kwa kigezo cha 6*6 tu sijui itakuaje pale ambapo dudu yako itakaposhindwa kazi!!!
mimi nina 30 na zaidi ila ni bikrakwan yupo humu
kweli mwenzangu tumekomaNa nyie wanawake mkome kuwa mnashobokea vivulana vilivyonyoa viduku na ku match colours kama maua rose, haya ndiyo matokeo yake.
kwani utaishi miaka mingapi wewe?"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninaye lingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaaa
Mimi nina 30 mpk nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lkn mie moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.
Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mm naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.
Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.
Jumapili njema.
WarrantyHizi nyuzi zenu ndizo zinafanya wadada kukimbilia harusi kuliko ndoa
Hizi nyuzi na mitazamo hii ndyo inafanya tunaganga majeraha ya maumivu ya Ndoa..
Mitazamo hii ndyo inafanya watoto wengi kulelewa bila baba zao na mama zao sasa!
Mitazamo hii ndyo inafanya mabinti kuwa na low self esteem na low self worthy..rudia mdada hapo anasema akikataliwa atakufa na maombi ya kufunga kafanya.
Hii mitazamo ndyo imepelekea kila ukikatiza jiji la dar ukute kibao wanaongeza mvuto wa penzi na kuolewa..na kwenye radio na tv wahubiri kutangaza kuombea wadada kuolewa.
Mitazamo hii ndyo maana yule mwenzenu kamkuta mdada na hirizi kiunoni pia hamuishwi kulishwa vyakula vilivyotoka ukeni.
Waweza kuwa umeandika kwa kujifurahisha..lakini maneno yana athari kubwa sana!!!
Naomba uniruhusu kuandika kwamba ulichoandika ni DOGMA..nasikitika wadada wengi wamekuwa watumwa pia wa hii.
..
Mm sijui nitaishi miaka mingapi. Lkn nataka niwe na mtu ambaye mahisia yake yanakuja automatically. Siyo mara anywe zabibu kavu sijui mafuta ya ubuyu. Yaani unaoa mwanamke ili umgegede lazima anywe ndoo nzima ya tiba mbadala ndiyo anapata msisimko?kwani utaishi miaka mingapi wewe?
Kama ni kweli basi hapo utahitaji upasuaji mdogo ili iweze kupitisha dushe. Na hata mirija ya uzazi itakuwa imeziba. Kwasabb unapogegedwa unasababisha fallopian tubes to rhythmically contract so as to pave the way for sparms. Kama kimya zinaziba dadamimi nina 30 na zaidi ila ni bikra
Mwanaume suruali nani akutake wewe unaishi kwa wazazi unamiaka 30 fyuuuuu kwataarifa yako kuolewa mkosi tu skuiz mijitu ishajipigia punyeto paka limelegea utafkiri la babu mzee kuliamsha paka lisimame masaa matatu alafu goli lenyewe moja bora nisiolewe tu

nUngenisoma between line ungenielewa!!!Warranty
ungeangalia upande wa pili pia. Nimba inaaminika watu wengi wameoa au kuolewa na watu wasio wapenda ndiyo maana ndoa nyingi zinavunjika, michepuko inashamiri na watoto wa mitaani kuongezeka.
Wengi wanapuuza sauti ya ndani wa kuzingatia mvuto wa kimapenzi wakati wa kuingia kwenye ndoa, badala yake wanaangalia elimu ,mali, hadhi, n.k.
Tuyajadili haya kwa uwazi. Kusema eti mke au mume ni zaidi ya ngono maana yake nn? unayempenda toka moyoni huwezi kumsonya, kumpiga, wala kumchoka.