Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Hhhhhaaaaaaa hapo tu unaniuagaa loo halaf ukute hajanyoaa yupo busy kuinua mkono kupungia watu mikono halaf wanapenda kuvaa tunguo tule twa mikono wazii mfyuuuu

Kwapa unakuta limekomaa kama ngozi ya goti....mnfyuuuuu
 
Ndio, ntakuja kwenye party watakayoandaa kama ukiwepo utaniona na utaaminii,siwez mpa mtu my original pic,ya ninii? ?

Utakaposhangaa mimi jirani yako nyumba ya pili hapo
 
Tunakusubiri trainer. While you ar at that, aisee nimefulia kweli. Ukiona mahali kuna sale ya sneakers stua me tafadhali. Hehehe
Hahahaaaa nyie watu bana!

Ngoja kwanza niende gym halafu ntarudi humu kikamilifu.
 
Hivi kweli, ni nini kinakomaza magoti? Manake mie nasali sana tu nina hakika kusali sio sababu

Goti linakomaa kama watu wanapiga sana magoti sehemu ngumu... but sio.lazima liwe jeusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom