Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Mie kwapa langu linaweza kuwa jeusi ila sitajua, manake nafuga nywele huko. Full rasta, ila halinuki jasho.

cc Nyani Ngabu, The Boss
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi sikia na "roll ons na sticks" nazo kwa baadhi ya watu zinasababisha hii hali hebu wajuvi wa mambo mtoe ushauri!!!!

Ukiwa mmoja wao opt for sprays tu
 
Hata mtu awe mweupe(brown Sijui) uchi/mbunye au dick.son lazima viwe vweusi...kwapa sina uhakika sana coz naona wadada wengine ni weupe na kwapa zao pia, wengine weupe na kwapa zao ni nyeusi..sasa sielewi !!

Yap kuna wengine ni weupe wana kwapa jeusi, na wengine ni weusi lakin kwapa linakua jeusi tiiii
Wengine hawana hiyo kitu
 
Tunaendelea kusisitiza ishu ya usafi, Iwe kwa wanawake au wanaume, ngozi ya makwapani ni rangi sawa na sehemu nyingine za mwili.Uvivu tu wa kusugua ndio unafanya baadhi ya watu wawe na mikwapa myeusi kuliko sehemu zingine.

Mtu anakomaa na mideodorant tuu asubuhi mchana na jioni but kusugua kwapa hataki.

umesahau na weusi wa kwenye sehemu Nyeti Nao pia ni Ucha**
 
Mie kwapa langu linaweza kuwa jeusi ila sitajua, manake nafuga nywele huko. Full rasta, ila halinuki jasho.

cc Nyani Ngabu, The Boss
Tyta bro hebu endorse hii mambo

harry-armpit-women.jpg
 
....mbona na vipochi manyoya na vyenyewe vyeusi kama kiwi wakati mmiliki wake mweupe kama malaika......nyie mmeona makwapa....tu...

Hiyo nayo ni uchafu... hata kende hazitakiwi kuwa nyeusi
 
Tumezoea Kuwananga Tu
Dada Zetu Humu JF ILA Kwa Hili Nakiri Tena Nikiwa Na Uhakika Nalo Kuwa
Sisi Wanaume Tunaongoza Kwa Uchafu Huu Wa Bonde La Mpunga ( MAKWAPANI ).
Mkinichukia Poa Tu!!!!!!!!!!!

baelezeee kwel wanaume mnaongoza. ingawa siamin kama kuna wadada wa ivo? dah ni probulemu.
 
Weusi wa kwapa si madhara ya uchafu pekee, wakati mwingine huwa ni ugonjwa...
 
Wanaume wanajisahau wakidhani
hizo sehemu sio muhimi kwao kuziweka safi. Unakuta mtu kwapa limejaa
msitu wa rangi ya brown... alafu eti kavaa singlend....

unakuta mtu anaigiza movie sasa wako kitandani na mwanamke mme sakiinua mkono dah utazan duduwasha.ishiiii kinyaa
 
Unaweza kuwa umeandika kwa hisia tu lakini sivyo majibu ya tafiti za kisayansi yaoneshavyo...

Unaweza kuweka sababu za kisayansi kwa nini watu hupata weusi makwapani?

Tumezoea Kuwananga Tu Dada Zetu Humu JF ILA Kwa Hili Nakiri Tena Nikiwa Na Uhakika Nalo Kuwa Sisi Wanaume Tunaongoza Kwa Uchafu Huu Wa Bonde La Mpunga ( MAKWAPANI ). Mkinichukia Poa Tu!!!!!!!!!!!
 
Unaweza kuwa umeandika kwa hisia tu lakini sivyo majibu ya tafiti za kisayansi yaoneshavyo...

Unaweza kuweka sababu za kisayansi kwa nini watu hupata weusi makwapani?

Makwapa yanakuwa na slow debridment ya worn out cells na kuaccumulate melanin. Solution ni kusaidia debridment kwa kusugua thoroughly
 
Tunaendelea kusisitiza ishu ya usafi, Iwe kwa wanawake au wanaume, ngozi ya makwapani ni rangi sawa na sehemu nyingine za mwili.Uvivu tu wa kusugua ndio unafanya baadhi ya watu wawe na mikwapa myeusi kuliko sehemu zingine.
sio tu mikwapa, unakuta mtu ana mi.ta.ko myeusi kuliko sehemu zingine. tatzo nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom