Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Weusi makwapani sio asili ni uchafu

hahahaaa sista darling nini kimekuchekesha...? Ni kuhusu our genitals na rangi zake?
Hahaha exactly brod darlin, yani Imebidi nijichungulie hayo maeneo. Na hizo story za boarding za kuchunguliana uuuuh
 
Kwa hiyo ndimu na sabuni zinafaa kutakatisha kwapa likawa na rangi nyeupe?
Eti bhana Tuko?
 
Last edited by a moderator:
Ni biological tu, hata wanyama their genitals are darker than other parts of their bodies. ..I guess it has to do visual attraction so the opposite sex sees that the area has something special no I mean different.
Kwa makwapa sababu ni nyingi pamoja na hiyo ya uchafu


Nakubaliana na wewe hoja ya biological, sababu mimi nikioga sijawahi kusugua kwapa tangu nizaliwe naoga kawaida tu na maji na sabuni lakini makubwa yangu sio meusi wala hayajawahi kuwa meusi kamwe!

Nadhani kuwa meusi ni maumbile ya mtu ki-biologia tu, sidhani kama inahusiana na uchafu,
 
Tumezoea Kuwananga Tu Dada Zetu Humu JF ILA Kwa Hili Nakiri Tena Nikiwa Na Uhakika Nalo Kuwa Sisi Wanaume Tunaongoza Kwa Uchafu Huu Wa Bonde La Mpunga ( MAKWAPANI ). Mkinichukia Poa Tu!!!!!!!!!!!

asaaaaante agiza soda kwa mangi nakuja kulipa
 
Nakubaliana na wewe hoja ya biological, sababu mimi nikioga sijawahi kusugua kwapa tangu nizaliwe naoga kawaida tu na maji na sabuni lakini makubwa yangu sio meusi wala hayajawahi kuwa meusi kamwe!

Nadhani kuwa meusi ni maumbile ya mtu ki-biologia tu, sidhani kama inahusiana na uchafu,

dear kama wewe ni rangi ya chocolate ni ngumu sana kujua uweusi wa kwapa
 
Jmn mbona na nyeti zinakuwa nyeusi ati kwani hazisuguliwi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom