Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,348
- 111,625
Makwapa yanakuwa na slow debridment ya worn out cells na kuaccumulate melanin. Solution ni kusaidia debridment kwa kusugua thoroughly
Mkuu nilikuwa namtaka huyo anayekataa kuwa wanawake si wahanga wakubwa wa weusi wa kwapa anipe sababu za kumfanya atamke hivyo...