Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Nimekusanya mawe kama najenga humo bafuni,nikijidhuru its your fault Tuko
 
Hivi wanawake wanaoota weusi shingoni na kifuani wakati wajawepesi ni kutojisugua?

Inasemekana mtoto atakayezaliwa akiwa wa kiume ndio mama huota weusi huo na kujiachia.

Kama mtoto ni jinsia ya kike mama hujipenda na weusi huwa kidogo ama hamna kabisa.
 
Mmmmmh mimi nina dada ila in real senses mi yatima kabisa jamani. Huyu ati ndio dadangu mie!!!!!!

Maana kwapa limesemwa leo, sasa nataka nifanye utafiti kama nalisugua vya kutosha ama natania.
 
Maana kwapa limesemwa leo, sasa nataka nifanye utafiti kama nalisugua vya kutosha ama natania.

Ukiona umesugua hautoki weusii chukua kiwembe ichune hiyo ngozi ya weusi itokee
 
Nilihangaika sana kutaafuta dawa za vipele vinavyotokea baada ya kunyoa. Nikawa natumia hizo after shave lkn wapi. Katika kusomasoma kwangu nikaona mtaalamu mmoja anasema ukinyoa ufuate mwelekeo wa nywele na usikwangue kabisaa. Nikafuata maelekezo hayo na naona imepita zaidi ya miezi sita sijaota kipele hata kimoja na nilowashauri pia. Usikwangue ngozi
 
Nimeipenda sana hii mada…na pia nimependa baadhi ya comment za watu fulani fulani.
 
mpk wenye mbunye ndefu wamejitaja na wenye mikndu mweusi namna hii tutafika tu ata kwa serikali mbili
 
Wapi huko? Shule ya boding?

Ndio yaan wakati ile saa 12 asubuh baridi kaliii,yaan tunaenda kuoga bafu moja watu sita eeee yaan nilikua najionea mengii aiseee,watu wana dudu aisee
 
Ndio yaan wakati ile saa 12 asubuh baridi kaliii,yaan tunaenda kuoga bafu moja watu sita eeee yaan nilikua najionea mengii aiseee,watu wana dudu aisee

Nisingeweza kabisa ku-survive shule za boding!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom