Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Weusi makwapani sio asili ni uchafu

mleta post sasa tufanye practical....leta picha zako za mfano tuone hayo.maeneo yako yalivyo smart

ha ha ha ha
 
Mada kali kama unaangalia muvi ya kutisha hadi unakaa kalio moja juujuu,dah!Utasikia watu wamechubua kwapa kwa kusugua.
 
Hivi kunaye mwenye jeusi kama miss neddy au mnatania vipaji vya watu???!!
 
Last edited by a moderator:
Makwapa huwa meusi kwa kusafishwa na wembe direct au mipafum ya kichina yamejazo alkohol kibwena..........


Ukitaka kwapa lisiwe jeusi usinyoe au tumia cream za kunyolea na perfume quality
 
☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝☝
 
Mmenikumbusha wimbo wa Mwasiti nalivua pendo, mwenyewe anainua mikono juu kabisa eti nalivua pendo nililolivaa zamani......hatariiiiiiiiiiiiiiii
 
Yaani ni balaa......mtu kwapa jeusi kama uvungu wa p

Hhhhhaaaaaaa hapo tu unaniuagaa loo halaf ukute hajanyoaa yupo busy kuinua mkono kupungia watu mikono halaf wanapenda kuvaa tunguo tule twa mikono wazii mfyuuuu
 
Wengi hudhania mi mweupe? Hamna ambae ashawah kunionaa ndio uzurii, we amini mi mweusi lakin sio kama lami

Una uhakika sijawahi kukuona? Japo picha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom