HahahaNilichogundua sio kuwa na mawazo wala uthubutu bali kukosa ufahamu...
Wengi niliopata kukutana nao, huku wakiwa na mawazo ya ku-reseat, ukiwapa idea ya kusoma certificate, kwao inakuwa ni taarifa ngeni!!
Kutokana na kuzungukwa na watu wasio na uelewa, majority wanadhani grades zako zisipokuwezesha kusonga mbele, basi the only option ya kujiendeleza ni ku-reseat!!
Mimi mwenyewe sitasahau siku naripoti chuoni, nikawa nasoma majina ya wanafunzi tuliochaguliwa na majina yale yali-include qualifications za watu walizoingilia!!
I was surprised kuona jina la Binti aliyesoma Kibasila Form IV, na baada ya hapo akaenda kusoma certificate, diploma, na kisha tukakutana chuo!!!
By the time, sikufahamu kwamba iliwezekana mtu anavurunda Form IV, but few years later nae anajiunga chuo kikuu sawa na wale waliopata Div I Form IV aliyovurunda yeye!!!
Nivokataa kwenda five na six na kuamua kwenda kusoma diploma wengi hawakunielewa.Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy
Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila mwaka kuingia degree ukiongezea na wale wanaotoka diploma kwenda degree.
Ajira za diploma wanaweza ku apply watu elf 8 lakini hizi ajira za degree hata watu laki 8 wana apply
Wacha diploma wale zabibu zao aisee
Ni swala LA chaguo tu ni ngumu kumlazimisha MTU aende diploma km hana niaNivokataa kwenda five na six na kuamua kwenda kusoma diploma wengi hawakunielewa.
Nilipiga dip miaka miwili. Nikapata job, nikapiga job miaka miwili nikaamua kupiga bachelar huku nina kazi, huku nina boom, wale jamaa zangu waliounga 5 na 6 wakawa wanakaa kwangu huku wakitafuta kazi
Inasemekana ukiwa umesema una degree ajiraportal lakin pia ulipitia njia ya Diploma kuipata Degree, ikitokea kaz ya Diploma, huwez ukaapply cz system inakutambua ww ni diploma holder.
Kwaio kimsingi anawahi tu kupata kazi? Maana Diploma ni miaka miwili..lakini baadae atakuja kusoma degree miaka 3 inakua miaka 5 jumla..tena hapo ninkama amefaulu form 4 ila kama akiwa hana matokeo mazuri anasoma certificate mwaka mmoja baadae ndo diploma hivyo kufanya miaka kua 6..wakati mwenzake aliesoma form 5&6 amesomea miaka 3 degree yake, pia makazini wenye diploma wanalipwa tofauti kabisa..pia kiuzoefu watu walioanzaga diploma mars nyingi makazini hua wanakuaga walamba majivu aka watu wa kujikomba komba na wasiojiamini kwenye maamuzi...😂😂😂kwa hali hii ndugu zangu kama uwezo upo mjikite zaidi kuwasomesha wenzenu diploma na sio kupoteza muda form 6
Unalipwa sh ngapi kwa mwezi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅. Tatizo sio kuajiriwa je unalipwa sh ngapi??Mm nilichagua kwenda diploma, pamoja na ufaulu, mzuri wa kwenda advance PCM! Nikiwa semester ya mwisho mwezi wa tano, nilishapata Ajira tiyari! Nimemaliza project yangu moja kwa moja nikaenda kuanza kazi! Wakati huo tuliomaliza nao form four ndo wanakuja kuanza mwaka 1 degree!
Saiv hata nilishaoa degree hiyo nitaisoma bila pressure yoyote
No research, no data, no right to speak.pia kiuzoefu watu walioanzaga diploma mars nyingi makazini hua wanakuaga walamba majivu aka watu wa kujikomba komba na wasiojiamini kwenye maamuzi
Mbona hapo mwanzoni hujaomba evidence..halafu kwenye mazungumzk ya kawaida hatutoi evidence..evidence inatolewaga mahakamani huku mazungumzoni ya kawaida tunatoaga facts tu kama scenario niliyokutolea hapo mzee..No research, no data, no right to speak.
Naomba evidence ya hii.
Ulianza kujibu kwa hoja ila ulipofika hapa ni utumbo mtupu
Kwenda diploma badala ya advanceMbona hapo mwanzoni hujaomba evidence..halafu kwenye mazungumzk ya kawaida hatutoi evidence..evidence inatolewaga mahakamani huku mazungumzoni ya kawaida tunatoaga facts tu kama scenario niliyokutolea hapo mzee..
Interview ya watu wenye diploma wanaweza kuwa elf 8 lakini interview ya wenye degree hapo hata watu laki 5 watatuma maombi.Vyuo Vya Serikali Na Binafsi Ni Vingi Vinatoa Diploma
Idadi Mtaani Ni Kubwa Sana Hakuna Fani Utaitaka Ukute Eti Imesomwa Na Watu Wachache
Mahakama Ya Tanzania Imewahi Kutangaza Kazi Na Ikataka
Watu Waombe Kutoka Mikoa Husika Fani Hizi
Utunzaji Kumbukumbu
Katibu Muhtasi
Dereva
Idadi Ilikuwa Kubwa Sana
1. Point ya kwanza unazungumzia kuwahi kua na taaluma ila kimsingi licha ya kuanza na kua na taaluma kama utapata kazi unaanza na mshahara mdogo kazini..Kwenda diploma badala ya advance
1. mtu huanza kujifunza taaluma yake mapema, anaeenda form 6 bado hajaanza kusomea taaluma.
2. C.v ya alieenda diploma ni nzito, kaenda practical field training mara 2, wa form six inabidi asuburie degree.
3. Wa diploma anafundishwa na ma professor wenye phd ama lecturer mwenye masters yenye ufaulu mkubwa, wa form six anafundishwa na mwalimu mwenye dip au degree ufualu hata wa chini
4. form 6 hakuna ajira ila cheti cha diploma kinaweza kupa ajira maana una maarifa ya taaluma + training.
5.wa diploma anavoingia degree anafanya marudio, wa form 6 anakutana na mambo kibao mapya.
6.Wa diploma haitaji orientation week siku anaenda degree, wa form 6 huyu lazima aipitie, maana hata kuazima kitabu library hajui.
6. wa diploma ashazoea uhuru wa chuoni , wa form 6 ndio mara ya kwanza hapo anakuwa huru, wengi ule mwaka wa kwanza wanakuwa hawajatulia wanaenda disco, parties, cinema, n.k ilo kuonja ladha ya uhuru.
Kiufupi kama pesa ipo mtu aende certificate >> diploma >> degree miaka 6, kuliko kwenda huko advance kwa sababu ni miaka 5, tofauti ni mwaka 1 tu hapo na kuwahi kumaliza sio kuwahi kufikia goal
Cheti cha diploma kinaweza kukupe kazi lakini je, cheti cha form 6 kitakupa kazi ipi serikalini ??. Point ya kwanza unazungumzia kuwahi kua na taaluma ila kimsingi licha ya kuanza na kua na taaluma kama utapata kazi unaanza na mshahara mdogo kazini..
Naomba ulinganishe hizi c.vKwenda practical training mara mbili au tatu sio issue kwenye ajira maana hata siku moja hautalizwa maswala ya practical ulioyofanya kipindi unasoma diploma na hua sio criteria ya kuajiri
naona umekwepa maada kwa kuanzisha topic nyingine ila tunarudi kwenye point yangu, Mwenzako anafundishwa na proffesor mwenye phd wewe wa advance unafundishwa na mwalimu mwenye diploma hata ya g.p.a ya chini hapo huoni utofauti, achilia mbali inabidi mtu aende tuisheni za mchikichini ambaz walimu wengi wameishia form 6.Criteria ya kufundishwa na professor sio issue maana kwa kila level criteria ya kuajiri wakufinzi hua ipo wqzi..tutorial assistant, lecturer, associate lecturer etc..unless ndugu yangu uwe na matatizo ya uelewa wa elimu ya juu maana criteria zipo wazi..
nami narudia tena...Issue ya kua na ajira tulishaiongelea unaweza pata hio kazi lakini maslahi yako ni duni
Asante kwa kulikubali hili, kiufupi mtu anapotoka form 6 kwenda degree karibia 90% ni mambo mapya kwake, wa diploma kwake degreeitakuwa ni marudio tu, ataisoma kwa ku relax, chuo na bata, sasa wewe ambae degree unakutana na vitu kibao vipya, muige huyo diploma ujue maana ya disco kwa vitendo 😂Hata aliesoma diploma wakati anaanza lazima alikutana na vitu vigeni mambo mapya hayaepukiki kwenye maisha kwaio ni kitu lile kile tu kama cha form 6 leaver
Yes, wakati wenzake wapo huko form 5 wanakula mbakora, kupangiwa mavazi ya kuvaa hadi tai, kufugwa ndani ya fensi, n.k muda huo, alieenda chuo kuanza ertificate huo mda ndio anautoa ushamba wote wa uhuru, certificate ile ya mwaka moja inakuwa kama introduction, akiingia diploma tayari anakuwa kashazoea, akiingia degree inabidi awe anawacheka tu wenzake siku za kwanza mtu kaj na tranka kwenye usahili utafkiri yupo sekondari 😂 😂 ,Sasa na diploma nae si alienda kufanaya maswala ya disco maana there is a first time for everything...
Ndio maana serikali inapelekaga watu wachache san vyuoni maana ni nafasi adimu sana, kundi la malaki ya wengine waliobaki wanaenda kumwagwa huko advanceKusoma form six ni kama kupoteza Muda, kama nikumshauri waziri wa elimu ningemshauri afute form six
Inasemekana ukiwa umesema una degree ajiraportal lakin pia ulipitia njia ya Diploma kuipata Degree, ikitokea kaz ya Diploma, huwez ukaapply cz system inakutambua ww ni diploma holder.