sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
copy paste fb, ila naisapoti
Kuna kitu nataka niweke clear once and for all, Kumekuwa na upotoshaji mzito kwamba Pure Mathematics ya A-Level inamuandaa vema mtu kusomea degree ya IT / CS and the likes kuliko yule aliesomea diploma na kuingia degee, This is utter nonsense, Huu ni upotoshaji mkubwa sana and i proove it with facts only, uongo huu umeendekezwa sana and I feel sorry for the young lads being deceived year after year, hivyo wacha niweke mambo wazi.
Advance utajifunza hesabu kama somo, hii haina utofauti sana na wanafunzi wa o-level wanaosoma somo la additional mathematics isipokuwa tu advance wanasomea kombi hivyo kuna topics za ziada ila wote wanazisomea hesabu kama somo, Hali hii ni tofauti na chuoni wanapofundisha jinsi ya kuzitumia hesabu kwenye taaluma (application of math).
Mfano mdogo ni kwamba watu wengi tunajua kwamba 4 x 2 = 8 lakini kwa chuoni this is not enough, haitoshi tu kujua jibu ni 8 bali inabidi uyajue matumizi / application yake kwenye taaluma yako, mfano processor inakuwa na core 4, Je computer yenye hyper threading itakuwa na virtual cores ngapi ? hapa jibu unapata kwa kuzidisha 4 x 2 = 8 ambalo hata mtoto mdogo wa darasa la pili anajibu lakini hii haitoshi katika taaluma, itabidi ujue kwanza processor ni nini, core ni nini, threads ni nini, hyper threading ni kitu gani, n.k.
Baada yakujua hivyo ndo utajua kwamba hyper threading inatengeneza threads 2 kweny core moja ndio maana tunazisha mara 2, bila kujua hivi vitu hata ukijibu hilo jibu la 8 usishangae kunyimwa maksi zote maana inaonekana wazi hujui hata unachokijibu, ukichengwa kidogo tu chalii.
Ndio hapa sasa ndipo unapoona utofauti kwamba advance wanasomea hesabu kama somo kama ilivyo kwa o-level ila chuoni endapo watazikuta hesabu walizojifunza advance basi wanaenda kufunzwa upya hizo hesabu zinatumikaje kwenye taaluma zao, Kwa upande wa wale walioanza kusomea diploma baada ya form 4 hivi vitu huwa ni marudio tu wakifika degree, wakifika degree juhudi kubwa zinawekwa kwenye kushindilia na kuelewa zaidi kwa undani na sio kuwa wageni.
Alafu kitu kingine ni kwamba mtaala wentu ni wa zamani sana, hesabu za advance ni za mitaala ya 1960’s huko kabla hata mapinduzi makubwa hayajafanyika kwenye computers, hivyo hata hesabu za advance bado hazijafanyiwa adjustments kuandaa wanafunzi wanaotaka kusomea cs ama it, na hii ndio sababu nchi kama Kenya walijitoa advance (tayari wapo mbioni kuingiza elimu ya computer shule za msingi), Kenya ukimaliza form 4 ni chuo direct kuanza kusomea taaluma yako.
Huku kwetu mtu akitoka advance na kuingia chuo atakuta hesabu mpya kama binary number, hexadecimal numbers na nyingine ambazo ni muhimu kuzijua katika ulimwengu huu wa computers , hapa huwa inakuwa changamoto kwa waliopitia advance, wataanza kujifunza hesabu za binary 1+1 = 0 hapo inakuwa ni mambo mapya na inabidi ujifunze upya kwanini computer zinatumia binary.
Kusakafia huu mjadala wacha niseme kwamba chuoni utafudishwa tu kile ambacho kitakusaidia kwenye taaluma yako, Ni kama kwenye mpira, Striker inabidi ajikite kwenye kumchenga kipa, ball control, chenga, mashuti, n.k. topics kama kudaka kama kina Casilas , kupiga sliding tackles kama za kina ramos, n.k kwake hio sio field yake.
Kujikita Zaidi kwenye sehemu zitazokuongezea ufanisi ndio kutakufanya uwe nondo.
Lastly ningependa kugusia pia advanctage kubwa ya kusomea diploma baada ya chuo ni kwamba masomo utayoyakuta degree karibia 80% (zikiwemo hesabu) utakuwa unayarudia na hata mwalimu aliewafundisha diploma there is a possibility akawafundisha tena degree kwa notes zile zile, Downturn ya kusomea advance ni kwamba karibia 80% ya vitu utavyovikuta chuoni ni mambo mapya, hio 20% iliyobaki ya vitu utavyovikuta kwa kiasi vitagusia hesabu ulizojifunza o level na a level lakini bado utafunzwa upya namna ya kuzi apply na si kuzisoma kama somo la kombi ama kufulia necta, pia hizo hesabu si somo pekee utalolikuta, kuna masomo mengi mno, hutaenda tena kusomea masomo matatu ya kombi, chuoni utaenda kusomea Zaidi ya masomo 50 na mengi yatakuwa mapya.
Naskia hadi leo watu wazima wapo advance wanacharazwa viboko kama watoto na ukikutwa hata na barua ya mapenzi unaweza kupewa suspenion, hivi ni kweli watu wazima bado wanabanwa hivi?