Je, nikiwa na degree moja naweza Kuwa mwalimu au Tutorial Assistant kwenye Vyuo Vikuu?

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Habari wakuu,

Niende kwenye mada moja Kwa Moja, Mimi ni Kijana miaka 23. Nipo moja ya chuo kikuu Cha kanisa Fulani . Nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.

Naomba kuuliza je nikiwa na degree moja naweza Kuwa mwalimu au tutorial assistant kwenye vyuo vikuu.

Nipo mwaka wa pili, semester ya kwanza nilikuwa na gpa ya 4, semester ya pili nilikuwa na gpa ya 4, pia semester ya tatu nilikuwa na gpa ya 4.2. hivi sasa nimemaliza UE nakwenda Field nasubil matokeo ya semester ya nne.
 
Habari wakuu.
Niende kwenye mada moja Kwa Moja, Mimi ni Kijana miaka 23.
Ukipata first class wanaweza kukuretain kama ass tutorial ila navo jua RC kama wewe sio Catholic hata ukipata first class degree ya kwanza hawakuchukui wale ni wabaguzi wa kimyakimya.
 
Back
Top Bottom