Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Sasa Mayala chakushangaza nini hapo yaani Kuna Mambo ya msingi ya kushauri hii Wizara nyeti umeme kero Sana Nchi hii Leo umezingua Sana sijui umepewa bahasha ili ufunike madudu ya hii Wizara kwa faida ya Nani? Sina shaka naye Personal Ila JMakamba Kama Taasisi ninashindwaga kumuelewa kabisa sijui Siasa zimezidi?

MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA🇹🇿🤲
 
Wanabodi,

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.

Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

Tukija kwenye contents za hotuba hiyo, naomba kukiri, tangu Bunge la bajeti limeanza, hii ndio hotuba ya bajeti best presented, kabla ya hotuba imetanguliwa Maonyesho ya nishati Bungeni, hii public educational program kuwaelimisha wabunge.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Ngoja sukuma Gang wenzako wakushukie kama mwewe mimi simo.
 
Ni miaka miwili sasa imepita vijiji elfu 2 vimeshindwa kukamilika kupelekewa umeme ,wakandarasi hawaonekani alafu anakuja na porojo za kupeleka umeme kwenye vitongoji!!

Maneno mengi vitendo ziro
Achana na huyu Mpiga Zumari wa Kipara. Mtu anatuketea sifa QR CODE inamsaidia nini mwanakijiji wa Mulubanda ambaye anasaga mahindi kijiji cha 3?
 
Back
Top Bottom