tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,425
- 4,774
Ungesikiliza clips tu unajua huyo njemba sio mtaliano...lafdhi yake ya ki Nigeria au South Africa.
Tafuta wataliano wakiongea ki english utajua hizo cilps zime editiwa kuchafua watu.
Na sauti hizo mbili haziendani moja ya huyo njemba ni live na nyengine ni ya audio au simu.
Zaidi njemba he is not mtaliano....
Sauti tu inajulisha hilo ni tapeli fulani la nigeria .
Kumbe tuna wataalamu wa sauti humu. Mimi sio mtaalamu wa sauti. Lakini Makamba lazima ajioneshe bila shaka kutohusika.