Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Makamba sio mara ya kwanza kuwaliza wazungu.
Ameshamliza dada kutoka familia ya Rocafellar mpaka leo makamba hawezi kwenda marekani.
Mkuu tena hili nililisahau. Naomba niliongeze kwenye post yangu namba 12 hapo juu. Asante.
 
Time will tell...kila kitu huanza na tetesi na waitaliano wana tabia za ku rekodi kila kitu BTW mwamvita na kakaake wana hizi tabia
Hiyo accent labda mwafrika mwenye uraia wa Italy
 
Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.

Yeah. Mkikosana mnachongeana. Hicho ndicho tunachotaka. Kama kadanganya wao wata deal naye. Kama ni ukweli, basi wahusika watendewe haki.
 
Kama stori hii ni ya kweli naanza kuona kwa nini sheria ya mtandao ilitungwa na huyu huyu Makamba na kwa nini JF inafuatiliwa. Sasa ndiyo vigongo vya kashfa vinaanza kuibuliwa.
 
Chakaza kuna ya Vodacom hayajasemwa hapa!kama Ze makambaz wanasingiziwa basi wana damu ya kunguni
Nadhani inafaa yawekwe wazi kabisa. Binafsi sitaki kuona Wagosi wakichafuka kutokana na tabia mbaya za tamaa za wachache. Au yule jamaa aliyekuja kuishi pale Mkuzi ndio katuletea haka kaugonjwa? Zamani Shambalai hapakuwa na utapelitepeli wa aina yeyote.
Elli, MANI, zumbemkuu hebu nisaidieni, jee kile kirusi cha ufisadi kilichoweka base pale Mkuzi kimeanza kuambukiza wagosi?
 
Yaani kwa huo mnaouita ushahidi wa mtu anaweza kutengeneza kwa kurekodi sauti yeyote ya mwanamke wa kijibizana na mwanaume mmoja anayeweza kuiga lafudhi ya Kiitaliano tayari watu mmeamini 100% na mnataka hatua zichukuliwe?! Kazi kweli kweli!
 
Duuh! jamaa alvyokuwa anamwandama Lowassa,utadhani yeye alkuwa mtakatfu....kumbe alkuwa na wasiwasi wa chaka lake kuchomwa moto,,,jamaa hajui kupga hesabu za kisiasa kabsa...unafki haulipi,,,,hapa kashatengenezewa bomu,ikifka kipnd cha maamuz watamkata kama walvyomkata Lowassa...anyway,ajenge ukarbu na Zitto ili ahamie ACT atapokatwa
 
Kama kuna mtu alitaka tenda ya ujenzi bandari ya bagamoyo kwa kufanya dili na Makamba tena kupitia simu huyo mtu ni mpuuuzi na anastahili kuibiwa. Hapo Makambas walitumia fursa. Hakuna mfanya biashara anaweza kuwa reckless kiasi hicho

Makamba akaupe tenda kama nani? Kuweka down payment ya 100mil USD kwa bandari ambayo itajengwa kwa over billion $$- kuna kitu hakipo sawa hapa. Bagamoyo port ipo wazi kwamba itajengwa na wachina tena kwa mkopo sasa hawa waitalinao ni wajinga kiasi gani kutojua kitu kama hicho kabla ya kuweka bid ya kutaka tenda halafu pesa mnawapa watu binafsi mtu na kaka yake!! Acha waibiwe kwa ujinga wao
Ni swali ambalo watanzania wengi wameshindwa kujiuliza sijui akili zetu zina nini UKAWA wametuharibia vijana Wallah.
 
Wito wangu kwa moderators ni kuconfirm hii taarifa kama ni kweli na isije ikawa tunajadili uzushi wa Instagram na hatimaye ku-smear jina la JF au kupelekea kutoa sababu kwa TCRA kupiga fine au kufungia .

Kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa Mange alishawahi kutoa uzushi au hata kuwananga na kutukana wakuu wa JF na alijadiliwa sana humu....alionekana hana caliber ya kuwa na hoja za kiGT....

Kwa hiyo leo tunapojadili hoja hii ni vyema tukajiongeza kidogo ili tusiangukie kwenye mtego wa kijinga.

Mpaka sasa nasita kuamini juu ya uzushi huu kwa sababu ya historia ya huyu mpiga filimbi!!!
Halafu watu wakumbuke ushahidi wa sauti na picha Kisheria sasa hivi ni wa mashaka kutokana na kuongezeka kwa teknolojia.
 
Very damning evidence, kwani ikitokea ya kutokea huyo mzungu si anaweza kupatikana na ku testify kwa kutoa namba ya Mwamvita na January na kama bado anazo hizo recordings.

Sioni kosa la kiutendaji in terms of action taken lakini utata mkubwa unaibuka juu ya maadili what a disappointment ukute yeye mwenyewe ajafaidika moja kwa moja zaidi ya dada yake tu; tunatatizo kubwa sana la kutamani lifestyles zisizoendana na mapato yetu kama jamii.
 
Kama ushahidi huu utajitosheleza JPM ameshaishauri mahakama isichelewe kuhukumu. Mzungu aje na transaction pia za hiyo dola milioni
Na Makambas alete ushahidi wake kwamba alipewa hiyo dollar kwa ajili gani
 
Ksma wanawake wanajitoa mhanga na kujilipua kwa mabomu, Mange atashindwaje kutengeneza hii habari?
 
Atakemsikiliza huyo taahira mange atakuwa na mtindio wa ubongo..huyo kazi yake ni kutukana watu amechanganyikiwa
Ni sawa na waziri Mkuu alipomsimamisha daktari kwa kuambiwa na ndugu kuwa alidai rushwa au wauguzi 6 kwa kudai 5000! Zote zilikuwa shutuma zisizokuwa na hata chembe ya ushahidi! Hapa nusu ya ushahidi upo, ni kuufanyia kazi tu!
Kwa hiyo January akae apishe uchunguzi kama wenzie wanavyofanyiwa!
 
Ksma wanawake wanajitoa mhanga na kujilipua kwa mabomu, Mange atashindwaje kutengeneza hii habari?
January na mwamvita waje wathibitishe!
Au wewe ndio msemaji wa familia?
 
Ni swali ambalo watanzania wengi wameshindwa kujiuliza sijui akili zetu zina nini UKAWA wametuharibia vijana Wallah.
Huyo aliesemwa ana makando makando mengi ya utapeli! Hii Tunapigia majibu mstari
 
Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.

Kuna audio clips zimewekwa humu pia (presumably tapped/recorded phone calls...). Ofcourse dada yake January ataruka kimanga na kudai watu wameigiza sauti yake teheteheteheh...
 
Back
Top Bottom