funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,121
- 31,644
Wito wangu kwa moderators ni kuconfirm hii taarifa kama ni kweli na isije ikawa tunajadili uzushi wa Instagram na hatimaye ku-smear jina la JF au kupelekea kutoa sababu kwa TCRA kupiga fine au kufungia .
Kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa Mange alishawahi kutoa uzushi au hata kuwananga na kutukana wakuu wa JF na alijadiliwa sana humu....alionekana hana caliber ya kuwa na hoja za kiGT....
Kwa hiyo leo tunapojadili hoja hii ni vyema tukajiongeza kidogo ili tusiangukie kwenye mtego wa kijinga.
Mpaka sasa nasita kuamini juu ya uzushi huu kwa sababu ya historia ya huyu mpiga filimbi!!!