Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Mimi nataka nizisikie mwenyewe hizo voice recordings. Vinginevyo anatafuta kum-black mail makamba kisha ahongwe pesa nyingi ili asi-release hizo recordings
So far nimezisikiliza na sijasikia kitu cha maana cha kumuhusisha Makamba...hata muitaliano anayeongea humo ndani ni kama vile alizaliwa bongo ...yaani kwa ufupi sauti zimekaa kiuzushi uzushi hivi....labda episode 2 tutapata vitu
 
hata uwaziri alipewa kwa bahati ila kijana hayupo safi ni mjinga anaweza muona makamba kama kijana mwenye nia njema na taifa
 
Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Si ndio maana deal likafeli bt still wao wakapiga mpunga
 
Wito wangu kwa moderators ni kuconfirm hii taarifa kama ni kweli na isije ikawa tunajadili uzushi wa Instagram na hatimaye ku-smear jina la JF au kupelekea kutoa sababu kwa TCRA kupiga fine au kufungia .

Kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa Mange alishawahi kutoa uzushi au hata kuwananga na kutukana wakuu wa JF na alijadiliwa sana humu....alionekana hana caliber ya kuwa na hoja za kiGT....

Kwa hiyo leo tunapojadili hoja hii ni vyema tukajiongeza kidogo ili tusiangukie kwenye mtego wa kijinga.

Mpaka sasa nasita kuamini juu ya uzushi huu kwa sababu ya historia ya huyu mpiga filimbi!!!
Historian ya mpiga filimbi sio hoja, maana hata kama tunamjua mtu kuwa kichaa tukikutana nae njiani anakimbia huku anasema kuna simba hatutadharau bali tutachukua tahadhari na kujichunga.
Kwa vile hii habari iko kwenye mtandao mwingine na MangeKimambi ni verified user hapa JF atuwekee hapa hiyo habari na ushahidi wake tuipime na kama inanguvu ya mashaka vyombo husika vi take charge.
January amekuwa mtu wa mashaka mashaka katika uadilifu. Kulikuwa na mjadala wakati hajawa hata Mbunge akiwa Ofisi ya ikulu kuwa alikuwa anapiga dili za ili kumuona JK lazima umpe $ kadhaa. Pia mnakumbuka alivyoingilia dili la Malaria no more la Sugu na akapiga mpunga wa kutosha na Ruge wa Clouds.
Tuhuma hizo zote hazikuletwa na Mange, hivyo historia inaonyesha ana uaminifu wa mashaka lakini analindwa, na kama alivyosema mleta mada pengine naye Maelezo watamtetea na yule aliyesema mafisadi hawamshindi hapo anaweza kuangalia pembeni
 
hapa haujaelewa,mzungu aliambiwa atapewa tender,ila hakupewa which is true,maana kweli bandari tender walipewa wengine,kutokana na hiyo clip mzungu alitowa pesa na kuhakikishiwa kuwa atapewa mradi ,hapo upo?
Wengine sijui wan vichwa vigumu kiasi gani ? Inshu iko wazi kabisa kuwa jamaa aliahidiwa kupewa deal ya kujenga bandari bagamoyo na baadae akashangaa mkataba umesainiwa na deal wamepewa wachina. Hapo ndo alipoanza kuclaim na kudai chake... Vyombo vya usalama vinapaswa kutumia ueledi kuchunguza kwala hili kwa undani na kupata majibu sahihi kwamba hii inshu ni kweli au ni uzushi na kupakana matope (ikiwa ni pamoja na kumtafuta mtaliano kumhoji na kumuomba uthibitisho). Sasa cha ajabu team flani flani naona zinaangaika humu kutuambia kuwa huo ni uzushi badala ya kututhibitishia ukweli. Mi nadhani inshu hii sio ndogo kiasi icho tunavyoshawishiwa kuipotezea na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza hili kwa weledi na uadiifu na kutupa majibu ya kueleweka.
 
Mzungu ndio,maana waitaliano english yao ina accent yao,nao hawajui english vizuri maana sio lugha yao mama

My dear i am have dated an Italian man for years and honestly the man recorded in the audio clips doesn't sound Italian at all. Ukimsikiliza vizuri he has a strong African accent although he's really trying to fake the Italian accent ila anajisahau. Hizi audio clips hazina mashiko kabisa.
 
Huyo muitaliano alijua hayo?? Ye kaambiwa kaka angu mtu mkubwa ukitaka unapata akaamini!! Kumbe kakutana na mapapaa msofee!! Ukimuongela Mange kumbuka hata saa mbovu husema ukweli mara mbili ktk saa 24
 
Historian ya mpiga filimbi sio hoja, maana hata kama tunamjua mtu kuwa kichaa tukikutana nae njiani anakimbia huku anasema kuna simba hatutadharau bali tutachukua tahadhari na kujichunga.
Kwa vile hii habari iko kwenye mtandao mwingine na MangeKimambi ni verified user hapa JF atuwekee hapa hiyo habari na ushahidi wake tuipime na kama inanguvu ya mashaka vyombo husika vi take charge.
January amekuwa mtu wa mashaka mashaka katika uadilifu. Kulikuwa na mjadala wakati hajawa hata Mbunge akiwa Ofisi ya ikulu kuwa alikuwa anapiga dili za ili kumuona JK lazima umpe $ kadhaa. Pia mnakumbuka alivyoingilia dili la Malaria no more la Sugu na akapiga mpunga wa kutosha na Ruge wa Clouds.
Tuhuma hizo zote hazikuletwa na Mange, hivyo historia inaonyesha ana uaminifu wa mashaka lakini analindwa, na kama alivyosema mleta mada pengine naye Maelezo watamtetea na yule aliyesema mafisadi hawamshindi hapo anaweza kuangalia pembeni
Tatizo la mleta mada ni mhemuko wa kuhukumu bila kuwa na evidence beyond reasonable doubts....

mleta mada kamhukumu Makamba...na JPM....

Kejeli kwa JPM kuwa atamtetea zinakuja baada ya kuamini uzushi au ushahidi?
 
Manyuzi yamedaka watu mpaka Italia,,,Yatafika na Egypt
 
My dear i am have dated an Italian man for years and honestly the man recorded in the audio clips doesn't sound Italian at all. Ukimsikiliza vizuri he has a strong African accent although he's really trying to fake the Italian accent ila anajisahau. Hizi audio clips hazina mashiko kabisa.
Kwa nini mnaweka mashaka upande mmoja?? Hata huyo alietuhimiwa ni mtu wa mashaka mashaka, alishatuhumiwa kutaka $ toka kwa watu waliotaka kumuona Rais, alituhumiwa kupoka deal la malaria no more, alituhumiwa kupiga hela za kampeni ccm, Kumdhulumu dada familia ya Rockefeller n.k n.k yoote anasingiziwa tu... Sasa kwa nini tuwekee shaka hili?? Au mtadai mti wenye matunda?? Saa nyingine mti unapigwa mawe ili nyuki waliojenga kwenye matawi waondoke
 
Kwa nchi za wenzetu tuhuma kama hii tu tayari inabidi ukae pembeni kupisha uchunguzi
Why mgosi Makamba aandamwe yeye tuu na haya ya uaminifu wa mashaka?
Akiwa Ikulu kulikuwa na tuhuma kuwa alikuwa anawaandalia watu fursa ya kuonana na JK kwa tozo ya sio chini ya $ 200.
Pia ule mradi alioleta Mhe Sugu wa Malaria no more kutoka Marekani kulikuwa na tuhuma ambazo Sugu alizisema hadharani kuwa January alicheza dili chafu akishirikiana na Ruge kumnyanganya mradi ule endelevu na wakapiga mpunga mrefu.
Bado nashangaa, why January tuu asingiziwe? Hata mtaani mtu akitajwa sana kuwa kibaka huwa inatia shaka kuwa kuna ukweli
 
Back
Top Bottom