Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
kumtaja mswahili sio reckless hatred !?? Wgalatia ni mizigoo ! Copenhagen DNmkuu mbona inakimbilia ishu ya dini?? Whyyyy? Mswahili anaweza Kuwa muislamu na mkristo vilevile.
Reckless hatred!

Yaani uisome namba kwa habari za uzushi! How pathetic!Wakati anamtukana ndg lowassa watu walishangilia sana, acha upande wa pili uisome no. Kidogo
Waumini wa Lowassa mnachosha du everythiny you connect nae du nadhani mm
Mwavita Ameshakubali Kuwa Aliwasiliana Nae.Ww Unabisha Nn Mkuu?Jamani wabongo, ukisikiliza vizuri hizo clips, ni za upande mmoja tu wa Mtaliano anapozungumza na pale inapofika mwamvita kujibu basi inakwatwa, sasa jamani kama tuna akili timamu vipi tutaweza ku judge kwa kusikiliza upande mmoja tu? Bado nina mashaka na hiyo stori na mtoaji stori.
Au nyie wenzangu hapa barazani mnasemaje???
Mange ndiyo anaweza kutujibia, hata na yeye pia kaingia mitini, majungu jazz band ,mama yangu weee!!!Mzungu alisema leo tarehe 7.03.16 angeitisha kikao cha kumwaga lazi juu ya sakata hili,, vip mbona hatuna taarifa za kikao hiki au kazibwa mdomo,,
Usikute kapewa masaa 24 awe kwao italy asiwepo ktk jamhuri hii ya chama cha Makontena,,
Kabla ya kujua ukweli na ku judge, basi tusikie sauti ya Mwamvita naye kwenye hizo clips tusikie alichokuwa anamjibu Mtaliano, lakini ikifika tu sauti ya mwamvita kumjibu huwa inakwatwa hatujui alikuwa anasema nini.mshawekewa mpaka ushahidi hapa still mijitu bado ina-complain ni uongo! kama ni uongo basi tuwekeeni ukweli wenye ushahidi hapa! haijalishi kuwa sauti zinazosikika hapa ni za kweli au ni za uongo, ili mradi mtoa post kashawasilisha ushahidi wake hapa na tumeuelewa! anaebisha na kusema ni za uongo basi awe tayari kutuwekea za ukweli hapa! kma huna evidence, you don't have rights to speak! ndo maana Edo alisema vipaumbele vyake ni Elimu, elimu, elimu akimaanisha wa-Tz wengi bado ni mambumbumbu!
Ooh my God. Mambo sasa yanaelekea pabaya. Let's wait and see.@Regrann from @mangekimambi_ - Okay Jibu tumelisikia. Tulikuja tumejipanga! So what lie is this??? Stay tuned! .
This saga just started! Give me a few days nimalize holiday nirudi Los Angeles then nipresent the evidence in a proper professional way! The blog is coming back up Ili clips ziwe zinacheza full! Plus screan shots za emails! .
.
Ni hivi, soon huyo Mwamvita hatoongea Na media yoyote ile! The evidence will speak for itself! Their personal relationship , yeye na mlalamikaji has nothing to do with the evidence that will be presented out here!! .ni kama evidence niliyoweka Leo, Hivi haya maongezi yanahusiana nini na wao kuwa wapenzi?? Seriously? Listen to these clips again? Wasipoteze lengo! .
.
Again I'm getting the backlash kuwa we were once close friends, I shouldn't do this! Listen guys, kakake aliponiweka ndani mlienda kumkumbusha Mwamvita Kuwa Mange was once your friend Mwambie kakako amtoe Au Mwambie kakako asimsumbue Mange ? Mbona Ndo kwanza walikuwa wananicheka na kutuma Waume zao walete viuno vyao pale Oysterbay wahahakikishe nalala ndani?? mmesahau mume wa Kiki, Yule Maliq alikuwa pale Oysterbay Police anafurahi nimelalala ndani? That time mlisahau kuwakumbusha wasinitese coz we were once friends? Leo nimeletewa issue Yao Ndo mnanikumbusha Mimi eti niache coz they were once my friends???? They were ready to see me go to jail, mngeniCha tu! Uzuri Ni kwamba Mimi siongei chochote wala si tiii chumvi all I will do is present the evidence then tuone serikali yetu itachukua hatua gani! Maana manesi Sasa Hivi wanafukuzwa Kazi Kwa kuuza gloves za Shingi 500, Juzi Waziri Mkuu kamfukuza Dr Kazi Kwa kuchukua rushwa ya laki moja Ili amfanyie mgonjwa Operesheni lets see hawa waliokwapua mabilioni watafanywa nini!
.
.
By the way silipizi kisasi , this is me being a great citizen! Angekuwa Mtu mwingine ningefanya Hivi hivi, but the fact that walishangilia shida zangu has made it easy for me to stand up and make sure Watanzania wanaujua ukweli......mnanijua Jamani hii issue ningeletewa hata Kama ingemuhusu kiongozi gani serikalini ningeilipua tu! It has nothing to do with my past association with them. [HASHTAG]#Regrann[/HASHTAG]
Huo ushahidi wa vi clip vya kusikia one side tu ya Mtaliano havina nguvu. Kama unavyo vitu usivibanie vimwage hapa. emails zao ziko wapi? sms? calls za kusikia both sides?? nk. nk. nk.@Regrann from @mangekimambi_ - Okay Jibu tumelisikia. Tulikuja tumejipanga! So what lie is this??? Stay tuned! .