Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Nikiangalia hili suala ya January Makamba na Mtaliano.
  1. Takukuru na police walitakiwa wawe wameshaanza uchunguzi wao.
  2. Takururu na police lazima walitakiwa watowe tamko na sio kukaa kimya. Wananchi wanataka kujua kama January ni untouchable au wanangojea amri jeshi mkuu hatowe amri ya kuanza uchunguzi.
  3. Rais alitakiwa asimamishe kazi January ili uchunguzi ufanyika.
  4. Police walitakiwa watowe motisha kwa watu wengine walio na infomation kama za mtaliano wajitokeze kwani kwa uzoefu wangu kama ni kweli huyu mtaliano ni moja kati ya mamia waliolizwa na January. January hajaanza huu mchezo na mtaliano tu kuna wengi zaidi.

Hivi vyombo vya usalama vinatakiwa viwe

Nadhani kuna kosa moja watu wanaweza kujikuta wanalifanya bila kujijua – kuingilia ugomvi na kesi zisizowahusu au kuzishobokea kwakuwa anayesemwa wanamchukia na wao pia. Ukifatilia historia ya Mange kumsakama January haikuanza jana wala juzi. Ni mtu ambaye watu wengi aliowahi kuwa na urafiki nao hapo kabla alitokea kugombana nao…mifano ipo mingi: Flora Lyimo, Shamim Koka, Eva Collection, Jokate, Hoyce Temu na Sinta – nikiamua kuwataja wachache. Na pia amekuwa bingwa wa kuibua ugomvi ambao baadae anakuja kuomba msamaha kutokana na kujikuta amekurupuka kuwachafua watu kwa chuki zake binafsi.

Sasa kamtukana na kumdhalilisha January Makamba kwa ishu ambayo ni wazi aliamua “kumuunganisha”. Sasa baada ya mzungu mwenyewe kuja na kumuomba msamaha hadharani, dada yetu Mange amerudi na kusema kuwa kwa nyakati zijazo watu wakitaka kumpa taarifa nyeti kama hizo wahakikishe taarifa hizo zina uthibitisho. Kwa mtu na akili zako unatakiwa uwe umeelewa kuwa hapa bidada alishirikiana na mtu kuiandaa hii kitu na akaitengenezea akaunti ya twitter. Baada ya haya, Mange akaomba msamaha ila watu wengine bado wameikomalia. Kama aliyeanzisha ameomba msamaha kwa kusema haikuwa na ushahidi, sielewi kwa nini wengine waikomalie…ni ulimbukeni, tuache kushabikia ugomvi tusiojua chanzo chake.
 
Ccm wote ni sawa na mashetani,hata umchukue malaika umweke ndani ya ccm mda wa mwezi mmoja anabadilika na kuwa shetani,wote sasa washabadilika wako wengi ndani ya ccm
 
Wadau hapa kidogo kuna ushaka na hizi habari, tuliambiwa Mtalianao leo atazungumza na waandishi wa habari saa nane mchana, lakini mpaka sasa hakuna habari zozote, na pia kuna tetesi kuwa Mtaliano kalipwa pesa zake kwa masharti tu ya kuwa asizungumze na waandishi na kurudi kwao, kwa hiyo baada tu ya kulipwa mafedha yake akaamua kuachana na kukutana na waandishi wa habari ili asije kutoa "siri" iliyofichika. Sasa jamani ukweli uko wapi??????
Dada Mange uko wapi?
 
jana niandika hapa Hakuna cha mtaliano wala nini,tatizo WATZ wepesi sana wa kuamini
 
jana niandika hapa Hakuna cha mtaliano wala nini,tatizo WATZ wepesi sana wa kuamini
Duh, kweli mdau, sasa naamini. hivi sisi wabongo tutaendelea kweli kwa namna hii? mbona bado tuko nyuma sana.
Kweli Mh. Magu ana kazi kweli kweli kama watanzania wenyewe ndiyo hao.
 
Madhalimu ni magaidi yenye vilemba yanayojibinua binua na kujitoa mhanga
.......Gaidi ni huyu aliyefanya kazi hii !
Yesu Msalabani.jpg
 
Unawasikilza bavicha?,walio sema lowasa fisadi miaka nane then wakabadili gia angani.

Ingawa ccm na cdm kote kuna mafisadi lkn bora ccm hii ya raisi Magufuli anaonyesha nia japo kidogo ya kukemea ufisadi.

Chadema wao siku hizi hata hawakemei na mkutano wao waliofanya umemezwa na tuhuma uchwara za Makamba.Na sasa ivi wanacheza mdundo wa OS.

Vipi muitaliano kafanya iyo press yake?

Poleni sana mnaowaamini chadema na ccm kasolo Magufuli na imani nae japo kidogo.
 
Tulieni mambo yanakuja taratibu............hata gazeti la Rai Tanzania liliandika uchafu wa Sefue, Ikulu wakasema Liombe radhi........lakini Sefue Katumbuliwa..............we ngoja. Magu hataki kuonesha kuwa amefanya kazi kwa kukimbizwa na JF na Twitter. Time will come
 
Kwa vyovyote vile iwe leo au kesho lakin Makamba ajiandae kwa lolote. Nina hakika hatabaki salama kwenye hili na ndoto za uraisi ndio mwisho wake.

Duc in Altum
 
Nadhani kuna kosa moja watu wanaweza kujikuta wanalifanya bila kujijua – kuingilia ugomvi na kesi zisizowahusu au kuzishobokea kwakuwa anayesemwa wanamchukia na wao pia. Ukifatilia historia ya Mange kumsakama January haikuanza jana wala juzi. Ni mtu ambaye watu wengi aliowahi kuwa na urafiki nao hapo kabla alitokea kugombana nao…mifano ipo mingi: Flora Lyimo, Shamim Koka, Eva Collection, Jokate, Hoyce Temu na Sinta – nikiamua kuwataja wachache. Na pia amekuwa bingwa wa kuibua ugomvi ambao baadae anakuja kuomba msamaha kutokana na kujikuta amekurupuka kuwachafua watu kwa chuki zake binafsi.

Sasa kamtukana na kumdhalilisha January Makamba kwa ishu ambayo ni wazi aliamua “kumuunganisha”. Sasa baada ya mzungu mwenyewe kuja na kumuomba msamaha hadharani, dada yetu Mange amerudi na kusema kuwa kwa nyakati zijazo watu wakitaka kumpa taarifa nyeti kama hizo wahakikishe taarifa hizo zina uthibitisho. Kwa mtu na akili zako unatakiwa uwe umeelewa kuwa hapa bidada alishirikiana na mtu kuiandaa hii kitu na akaitengenezea akaunti ya twitter. Baada ya haya, Mange akaomba msamaha ila watu wengine bado wameikomalia. Kama aliyeanzisha ameomba msamaha kwa kusema haikuwa na ushahidi, sielewi kwa nini wengine waikomalie…ni ulimbukeni, tuache kushabikia ugomvi tusiojua chanzo chake.
We mbona muongo hivyo? Mange ameomba msamaha wapi? Lete visibitisho hapa!!!!!
 
Back
Top Bottom