Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Iko Bibi yangu Mkwe Ilikuwa nasema, "Malipo ni Duniani" Haki file hii mutoto ndogo, ikitumwa na Mukwere file ilikuwa nasema mbovu kuhusu ile msee nakuwa na Mufi mingi sana hata kama mbado kuseeka saidi. Linifanya mimi natakudondosa mashosi ya masiwa. Lakini ile Musee haiongei, Haki hata mii naulisa ndani ya kishwa yangu, Masai gani haina mori!

Woi Kama Ingekuwa Babu yangu Mzee Lebai, Kasari Lamoteva Natukanwa na Layoni namuna hi ingepppiga mutu sime! Lakini Ile Musee iko nakuwa na mfi mingi sana Nawashia Mungu sasa Sambi yao nawashika kabisa, haki nasema hawachomoi, hamuna!
Ha ha ha ha ha ha haaaaa... U made my day bro!! Thanks much
 
Lahaula huja baadae kama huyo mwamvita angejua mange yupo hivyo asingekubali kuwa shoga yake.Ila tunajifunza kitu baya linaweza kuwa na kheri mbele au kheri inaweza kuwa na shari mbele hili sakata linaibua mambo mengi na watu wengi wanaenda ku pay for the old score kwa sisi wachezea pembeni kazi yetu kusoma na kujitahidi kuelewa.

Hapana! Sema kama Mwanvita angejua kwamba Mange ana akili timamu asingekubali kuwa shoga yake.

Mange ni mwenye akili timamu na hawezi vumilia upuuzi kama huo. Pale UK waziri Huhne alijiuzuru baada ya rafiki wa mkewe kukataa kuficha siri yake kwamba ali over speed barabarani na kusingizia mkewe. Hiyo ndo akili.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
WAONAVYO ACT Wazalendo KUHUSU SAKATA LA JANUARI MAKAMBA...............................

Tusiingie kwenye ugomvi usiotuhusu.

January alikuwa mwana mkakati wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha Magufuli anashinda Urais.

Vivyo hivyo walikuwepo wana mkakati wa Edward Lowassa kuhakikisha Lowassa anashinda uchaguzi...

January anatuhumiwa kusababisha wanamkakati wa Lowassa waliokuwa wamejifungia hotelini kukamatwa kwa tuhuma za makosa ya Mtandao(kwamba walikuwa wana hack Mtandao wa tume Nec na kuhariri matokeo yaliyotumwa toka majimboni)

January akaaminika kuwa ndiye aliemnyima ushindi Lowassa baada ya kuwachomekea .

Vita ikaatangazwa rasmi,hakuna jema lolote litakalofanywa na January likakubaliwa au kupongezwa na wafuasi wa Lowassa, wakafanya kila liwezekanalo ili na January aukose uwaziri kama walivyoukosa Urais

Rais Magufuli akamteua January kwa kuzingatia vigezo alivyoona vinamfaa,sasa Wanamkakati wa Lowassa wanaendeleza vita kuhakikisha January anapotea kisiasa ili kulipiza kisasi.

Tanzania ya visasi itaua vipaji vya vijana wanaochipukia kusiasa,siungi mkono siasa na visasi bali mimi ni muumini wa siasa za kusamehe na kushughulikia maswala.

Magufuli hakosoleki mpaka mkose mtaji wa kiasa? Mbona watoto bado wanakaa chini shuleni? Mbona umeme unakatika kila siku tena bila taarifa? Mbona wananchi wengi wanazidi kuwa maskini pamoja na kuwa tunaambiwa makusanyo ni zaidi tril 1.7 kwa mwezi?

Mbona bei ya mafuta imeshuka lkn nauli usafuri wa magari ipo palepale?

Yapo maswala mengi na makubwa yakufanywa kuwa ajenda kuliko kupoteza muda kujadili Mapenzi ya Mwavita na Muitalia wake au January na shemeji yake.

Let base on issues rather than parsonality.
 
Huwa nikiangalia post za mange naona zimejaa chuki ,wivu hasira she is very desperate
Zamani nilikuwa namsuport mpaka huku jamii forum ila sasa duh mchonganishi ,mgombanishi sijui kwa nini yuko busy na maisha ya watu.
 
Kabla ya kujua ukweli na ku judge, basi tusikie sauti ya Mwamvita naye kwenye hizo clips tusikie alichokuwa anamjibu Mtaliano, lakini ikifika tu sauti ya mwamvita kumjibu huwa inakwatwa hatujui alikuwa anasema nini.
Duh! yaani wewe ukiwa hakimu basi utafunga wengi.

Wewe nae, kasikilize hizo clip tena. Mbona Mwamvita anasikika sana tuu.
 
Unawasikilza bavicha?,walio sema lowasa fisadi miaka nane then wakabadili gia angani.

Ingawa ccm na cdm kote kuna mafisadi lkn bora ccm hii ya raisi Magufuli anaonyesha nia japo kidogo ya kukemea ufisadi.

Chadema wao siku hizi hata hawakemei na mkutano wao waliofanya umemezwa na tuhuma uchwara za Makamba.Na sasa ivi wanacheza mdundo wa OS.

Vipi muitaliano kafanya iyo press yake?

Poleni sana mnaowaamini chadema na ccm kasolo Magufuli na imani nae japo kidogo.

Cdm wanahusikaje na press ya mtaliano aliechunwa na makamba na dada yake weee jamaa kiiazi kweli kweli
 
Huwa nikiangalia post za mange naona zimejaa chuki ,wivu hasira she is very desperate
Zamani nilikuwa namsuport mpaka huku jamii forum ila sasa duh mchonganishi ,mgombanishi sijui kwa nini yuko busy na maisha ya watu.
Inaonekana umetumwa kuja kuwatetea watu humu jf.Tuthibitishie kwa ushahidi kuwa Mage aliyoyatoa ni uzushi kama Mage alivyo uthibitisho.Kama huna ushahidi inabidi ukae kimya kuwapisha wenye ushahidi watuonyeshe ukweli.
 
WAONAVYO ACT Wazalendo KUHUSU SAKATA LA JANUARI MAKAMBA...............................

Tusiingie kwenye ugomvi usiotuhusu.

January alikuwa mwana mkakati wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha Magufuli anashinda Urais.

Vivyo hivyo walikuwepo wana mkakati wa Edward Lowassa kuhakikisha Lowassa anashinda uchaguzi...

January anatuhumiwa kusababisha wanamkakati wa Lowassa waliokuwa wamejifungia hotelini kukamatwa kwa tuhuma za makosa ya Mtandao(kwamba walikuwa wana hack Mtandao wa tume Nec na kuhariri matokeo yaliyotumwa toka majimboni)

January akaaminika kuwa ndiye aliemnyima ushindi Lowassa baada ya kuwachomekea .

Vita ikaatangazwa rasmi,hakuna jema lolote litakalofanywa na January likakubaliwa au kupongezwa na wafuasi wa Lowassa, wakafanya kila liwezekanalo ili na January aukose uwaziri kama walivyoukosa Urais

Rais Magufuli akamteua January kwa kuzingatia vigezo alivyoona vinamfaa,sasa Wanamkakati wa Lowassa wanaendeleza vita kuhakikisha January anapotea kisiasa ili kulipiza kisasi.

Tanzania ya visasi itaua vipaji vya vijana wanaochipukia kusiasa,siungi mkono siasa na visasi bali mimi ni muumini wa siasa za kusamehe na kushughulikia maswala.

Magufuli hakosoleki mpaka mkose mtaji wa kiasa? Mbona watoto bado wanakaa chini shuleni? Mbona umeme unakatika kila siku tena bila taarifa? Mbona wananchi wengi wanazidi kuwa maskini pamoja na kuwa tunaambiwa makusanyo ni zaidi tril 1.7 kwa mwezi?

Mbona bei ya mafuta imeshuka lkn nauli usafuri wa magari ipo palepale?

Yapo maswala mengi na makubwa yakufanywa kuwa ajenda kuliko kupoteza muda kujadili Mapenzi ya Mwavita na Muitalia wake au January na shemeji yake.

Let base on issues rather than parsonality.
Mimi nilikua sijui kama Mange ni member wa CDM anaevaa gwanda la kijani. Ninavyojuwa Mange ni yule yule anasomesha namba wale walee, wanaolelewa katika chama kile kilee. Wataisoma namba aah wataisoma namba ni ile ileee[emoji356] [emoji426] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji448] [emoji449] [emoji447]
 
nzuri ya kusoma
http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Back
Top Bottom