Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

mshawekewa mpaka ushahidi hapa still mijitu bado ina-complain ni uongo! kama ni uongo basi tuwekeeni ukweli wenye ushahidi hapa! haijalishi kuwa sauti zinazosikika hapa ni za kweli au ni za uongo, ili mradi mtoa post kashawasilisha ushahidi wake hapa na tumeuelewa! anaebisha na kusema ni za uongo basi awe tayari kutuwekea za ukweli hapa! kma huna evidence, you don't have rights to speak! ndo maana Edo alisema vipaumbele vyake ni Elimu, elimu, elimu akimaanisha wa-Tz wengi bado ni mambumbumbu!
HAHAHA,TEHE HEHEEEEE, ETI EDO-ELIMU,ELIMU,ELIMU,-- KAMA NAMUONA VILE ANAVYOCHUNGA NG'OMBE MONDULI NA HANDENI , NA ELIMU, ELIMU YAKE! ALIWAFUNDISHA MAJUNGU NA KIJIWE CHENU CHA CRUZ INN!
 
Hii ni michezo ya kitoto, watu wanapeleka mesegi kwa JP kuwa wale waliowafadhili wanasubiria fadhila zao, JP alishasema kama kuna mtu alifadhili aende akamuone tena kasema mbele ya high profile business club ya tanzania, hakuna aliyenyosha mkono. Yale yale ya giriki na prof mbilinyi.
 
Kuna vitu kama ni kiongozi makini,allegations nzito kama hizi,zikikugusa tu,huitaji mamlaka ya uteuzi kukuchukulia hatua,ni kukaa pembeni kupisha uchunguzwe wewe na dada yako pamoja na huyo mliyemlia chake. Ndio maana Mwamvita anaona Tanzania hakuna sehemu nzuri ya kuishi kama hotels ambazo amekuwa akibadisha kulala
mkuu Magufuli hathubutu kuwagusa milele anawaogopa sana isitoshe January anajua Siri za Ushindi wa ccm wanajua wakimwaga ugali atamwaga mboga, maji ya kunywa mpaka ya kunawa, pia waganga wa kienyeji aliowaleta wamekesha nao siku Tatu wamemhakikishia hakuna kitu kutaendelea tena hii ni Kwa mujibu wa Ndugu zake.
 
January alijua atakua Rais so alijiandaa kitambo ili mitandao isimwanike na alifanikiwa, ila nazan pia kuna bifu kati ya mange na mwamvita. Kuna bosi wangu flan aliniambia mtu akija kumsemea flan cha kwanza chunguza uhusiano wao huyo msemaji na msemewa
Nmekuelewa xana mkuu maana ukiachana na ushabiki na ukasoma vizuri hizo post za Mange utagundua sababu ya kwanza kabisa c uzalendo wake kwa taifa bali mgogoro au kutokuelewana baina ya hao Makambas na mtupiaji wa hiyo post, yaan Mange zen suala la uzalendo kwa inchi ndo likaja baadae. Kama sheria ni msumeno bas tuone ukikata pande zote lakini pia ukate sehemu stahiki
 
HAHAHA,TEHE HEHEEEEE, ETI EDO-ELIMU,ELIMU,ELIMU,-- KAMA NAMUONA VILE ANAVYOCHUNGA NG'OMBE MONDULI NA HANDENI , NA ELIMU, ELIMU YAKE! ALIWAFUNDISHA MAJUNGU NA KIJIWE CHENU CHA CRUZ INN!
Zile pesa January alizomwibia Sugu ni Majungu? Zile bilion 1.7 za kampeni alizopiga ni Majungu? Huyo mwanvita kuwachuna Rais wa Kenya, Zambia na Rostam kisha kumpa January ni Majungu ? Mwanvita kumtapeli mzungu ni Sinema moja wamewapiga wengi lakini waliwapiga Ndumba wakakaa kimya Tambua boss zako ni washirikana sana .
 
HAHAHA,TEHE HEHEEEEE, ETI EDO-ELIMU,ELIMU,ELIMU,-- KAMA NAMUONA VILE ANAVYOCHUNGA NG'OMBE MONDULI NA HANDENI , NA ELIMU, ELIMU YAKE! ALIWAFUNDISHA MAJUNGU NA KIJIWE CHENU CHA CRUZ INN!
Si bora yeye ana mradi wa ng'ombe? afu mimi nakufananisha na huo mradi wenyewe!!
 
Si bora yeye ana mradi wa ng'ombe? afu mimi nakufananisha na huo mradi wenyewe!!
YAANI MNAJISEMA WENYEWE NYIE NYUMBU, KWAMBA YAANI EDO ANAWACHUNGA NDIO MAANA ALIWAFANYA MAZUZU, MKASAHAU AGENDA ZENU ZA UFISADI NA MABADILIKO, MKABAKI KUZUNGUSHA MIKONO KWA VIROBA ALIVYOKUWA ANAWAPA, SASA MMEBAKI HAMJIELEWI, ANAWACHUNGA TUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
 
Sasa wewe kama hutafuti bwana EDO anatokea wapi kwenye post ya February? wenzako walikuwa wanazungusha mikono kuashiria mabadiliko wewe unazungusha mkono kupiga punyeto! ndo maana unajiita FUZI
 
Sasa wewe kama hutafuti bwana EDO anatokea wapi kwenye post ya February? wenzako walikuwa wanazungusha mikono kuashiria mabadiliko wewe unazungusha mkono kupiga punyeto! ndo maana unajiita FUZI
WEWE KWANZA SIO MTANZANIA KWENU NI AFUGHNASTAN NDIO MAANA UNAITWA JINA LA MJI UNAOTOKEA KANDAHAR(MKANDAHAR) RUDI MAPANGONI ULIKOZOEA KUFANYA HILO TENDO ULILOLITAJA HAPO JUU, MAANA NDIPO AKILI YAPO IMEJIKITA HAPOO!
 
Inaonekana umetumwa kuja kuwatetea watu humu jf.Tuthibitishie kwa ushahidi kuwa Mage aliyoyatoa ni uzushi kama Mage alivyo uthibitisho.Kama huna ushahidi inabidi ukae kimya kuwapisha wenye ushahidi watuonyeshe ukweli.

Labda nimetumwa au sijitambui ......
 
Huwa nikiangalia post za mange naona zimejaa chuki ,wivu hasira she is very desperate
Zamani nilikuwa namsuport mpaka huku jamii forum ila sasa duh mchonganishi ,mgombanishi sijui kwa nini yuko busy na maisha ya watu.
Mbona mange kawa kimya ghafla?? Au "keshanunuliwa?"
 
Back
Top Bottom