madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,453
- 2,849
Acha upumbavu ww babu zako Bibi zako walifanya hayo kwa hiyo tunapojifukiza tunapiga ramliJiwe ameligeuza taifa kuwa la kishirikina. Halafu anajiita mpenzi wa Mungu
Acha upumbavu ww babu zako Bibi zako walifanya hayo kwa hiyo tunapojifukiza tunapiga ramliJiwe ameligeuza taifa kuwa la kishirikina. Halafu anajiita mpenzi wa Mungu
Wewe unasubiri binadamu mwenzio akwambie kama iko au hakuna? Si ujiongeze mwenyewe kwani huoniIpo au haipo? Wizara ya afya inasemaje
Sijawaona hao mababu. Lkn nachojua huo ni uchawi mkuuAcha upumbavu ww babu zako Bibi zako walifanya hayo kwa hiyo tunapojifukiza tunapiga ramli
Anahamu na vijiti vya Wachina vya Corona
Serikali badala ya kuhamasisha watu kuchukua tahadhari wanakuja kuhamasisha watu kwenye ujinga sijui nyungu sijui ujinga gani.
Kama serikali ingekua makini na afya za watu ingesisitiza kinga kwanza kabla ya tiba, kinga ni pamoja na barakoa, sanitaiza, social distancing na mambo kama hayo.
Serikali inasubiri watu waugue inafundishe mbinu za kishirikina zisizo na msaada wowote kwao.
Mtoto wa kiume unaingia jikoni kushika sufuria kwa jambo ambalo halijathibitishwa na wataalamu wa Afya ili kumfurahisha bosi wako ni ujinga tu.
Kwa akili yako inavyokutuma kujifukiza majan ya mpapai n ushirikina😂😂, akili ndogo au ndo unaongonzwa na hisia??😂😂Jiwe ameligeuza taifa kuwa la kishirikina. Halafu anajiita mpenzi wa Mungu
Kwa hiyo kutumia mitishamba ni ushirikina? Unajua hata baadhi ya hayo madawa unayobwia yametengenezwa kutoka kwenye mitishamba? Pole Sana.Jiwe ameligeuza taifa kuwa la kishirikina. Halafu anajiita mpenzi wa Mungu
Wapumbavu kama nyinyi mukikamatwa na kuombwa Ushahidi wa ulicho ongea munaanza kulia nyau.Namlilia ndugu yangu aliyepoteza maisha jana jioni kwa Covid 19. Alikuwa mtumishi wa hospitali. Hospitalini hapo wahudumu wengi wanaumwa na wengine wamefariki.
Upendo wake wa kumhudumia rafiki yake, umemwondoa Duniani. Hata umri wa miaka 40 alikuwa hajatimiza.
Covid 19, ni hatari kubwa. Jitihada zote, pamoja na kumweka kwenye mashine za kupumlia hazikuzaa matunda.
Ndugu zangu, Covid 19, haijali umri au ubora wa afya yako. Itategemea tu namna ilivyokujia, na kiasi cha virus particles kilichoingia mwilini mwako. Ndugu yangu alikuwa kijana, hana tatizo la magonjwa ya moyo wala kisukari. Lakini baada ya kushambuliwa na Covid 19, BP ilipanda, na oksijeni kushuka ghafla.
Huku tukimwomba Mungu, tuchukue tahadhari zote za kiafya na za ziada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga wamepewa wajibu wa kuwaongoza wenye akili na wajinga zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama hutaki kupiga si ni wewe baki hivyo hivyo.acha wanaotaka kupiga upepo wa mafua upo wetha ni corona au sio wezio wanatawakal kujifukiza dawa unaleta dhihaka za kisiasa as if hapa ni siasa nyumbuWanajitekenya na kujicheka wenyewe. Nyungu ya nini na corona hakuna?
Unataka kujitoa akili kwamba huko kujifukiza siyo ushirikina? Ama kweli mataga mnaburuzwa na huyu mshambaKwa akili yako inavyokutuma kujifukiza majan ya mpapai n ushirikina
😂😂😂, Ebu tafuta expert wa afya akueleze kujifukiza how it works in real science upunguze ujinga😂😂Unataka kujitoa akili kwamba huko kujifukiza siyo ushirikina? Ama kweli mataga mnaburuzwa na huyu mshamba
Huko kutengenezwa ndiyo mstari unaotenganisha ushirikinaKwa hiyo kutumia mitishamba ni ushirikina? Unajua hata baadhi ya hayo madawa unayobwia yametengenezwa kutoka kwenye mitishamba?