Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

Hivi ndivyo ninavyoweza kuitafsri kauli hii ya Suleiman Jafo ya kutangaza wiki ya nyungu iliyopewa jina la season 3.

Wamegundua hawawezi kwenda kinyume na Ulimwengu, ila tatizo likawa ni namna gani ya kujirudi na kukiri tatizo lipo, waweze kuandaa mazingira ya kukubali na kuipokea chanjo wakati ukifika hivyo wamelazimika kuja na habari hii ya kupiga nyungu.

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
ANAPENDA HUYO
Anahamu na vijiti vya Wachina vya Corona
Screenshot_20210130-153528.jpg
 
Serikali badala ya kuhamasisha watu kuchukua tahadhari wanakuja kuhamasisha watu kwenye ujinga sijui nyungu sijui ujinga gani.

Kama serikali ingekua makini na afya za watu ingesisitiza kinga kwanza kabla ya tiba, kinga ni pamoja na barakoa, sanitaiza, social distancing na mambo kama hayo.

Serikali inasubiri watu waugue inafundishe mbinu za kishirikina zisizo na msaada wowote kwao.
 
Mtoto wa kiume unaingia jikoni kushika sufuria kwa jambo ambalo halijathibitishwa na wataalamu wa Afya ili kumfurahisha bosi wako ni ujinga tu.
 
Waliochukua tahadhari Wana wagonjwa wangapi na marehemu wangapi?
Serikali badala ya kuhamasisha watu kuchukua tahadhari wanakuja kuhamasisha watu kwenye ujinga sijui nyungu sijui ujinga gani.

Kama serikali ingekua makini na afya za watu ingesisitiza kinga kwanza kabla ya tiba, kinga ni pamoja na barakoa, sanitaiza, social distancing na mambo kama hayo.

Serikali inasubiri watu waugue inafundishe mbinu za kishirikina zisizo na msaada wowote kwao.
 
Hao wataalam wa afya wangetoa
Dawa ndo wangekuwa wa maana
Mtoto wa kiume unaingia jikoni kushika sufuria kwa jambo ambalo halijathibitishwa na wataalamu wa Afya ili kumfurahisha bosi wako ni ujinga tu.
 
Namlilia ndugu yangu aliyepoteza maisha jana jioni kwa Covid 19. Alikuwa mtumishi wa hospitali. Hospitalini hapo wahudumu wengi wanaumwa na wengine wamefariki.

Upendo wake wa kumhudumia rafiki yake, umemwondoa Duniani. Hata umri wa miaka 40 alikuwa hajatimiza.

Covid 19, ni hatari kubwa. Jitihada zote, pamoja na kumweka kwenye mashine za kupumlia hazikuzaa matunda.

Ndugu zangu, Covid 19, haijali umri au ubora wa afya yako. Itategemea tu namna ilivyokujia, na kiasi cha virus particles kilichoingia mwilini mwako. Ndugu yangu alikuwa kijana, hana tatizo la magonjwa ya moyo wala kisukari. Lakini baada ya kushambuliwa na Covid 19, BP ilipanda, na oksijeni kushuka ghafla.

Huku tukimwomba Mungu, tuchukue tahadhari zote za kiafya na za ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu kama nyinyi mukikamatwa na kuombwa Ushahidi wa ulicho ongea munaanza kulia nyau.
 
Wanajitekenya na kujicheka wenyewe. Nyungu ya nini na corona hakuna?
sasa kama hutaki kupiga si ni wewe baki hivyo hivyo.acha wanaotaka kupiga upepo wa mafua upo wetha ni corona au sio wezio wanatawakal kujifukiza dawa unaleta dhihaka za kisiasa as if hapa ni siasa nyumbu
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom