Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
15,142
2,000
Da!!!, mambo mengine kwa kweli unashindwa kujua hawa jamaa wanatuonaje....

Anasema "hapa korona haina nafasi"....akimaanisha hakuna korona

Hapohapo anatangaza wiki ya kujifukiza....wanasiasa kwa kweli wanacheza na akili za wadanganyika vizuri sana

Mkuu wanatuona sisi ni majuha fulani au ni kama watoto wadogo hivi:


Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 

johnhance

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
1,788
2,000
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,412
2,000
Kwani dawa ya mitishamba haitengenezwi? Kuchemshwa, kuponda ponda hiyo siyo processing? Ama kweli mabeberu waneharibu kabisa vichwa vyenu.
Kuchemsha, kupondaponda na kuchemsha bila kuhusulisha separation ni ushirikina.

Kwasabb ni hata washirikina hufanya hizo processes.
 

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
6,462
2,000
chaguo ni lako
IMG-20210127-WA0015.jpg
IMG-20210126-WA0008.jpg
IMG-20210126-WA0006.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom