Waziri Bashe aahidi suluhu ya kudumu ya upandaji holela wa bei za mbolea

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Ameandika Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe katika ukurasa wake wa Twitter. Nina Faham maumivu ya bei ya mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi basi na mimi binafsi ninajua kama mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira, msimu ujao wa kilimo hautakuwa na maumivu haya.

"Changamoto ya bei tunaendelea kuifanyia kazi tunatengeneza mfumo utakaokuwa wa kudumu na wa kibajeti kwa ajili kukabiliana na tatizo la bei kuanzia mwaka wa fedha 2022/23.

"Kwa sasa TFRA itakuwa ina approve na kutangaza bei kila wiki kwa kila kampuni na kujua source price za CIF na logistic cost iki kudetermine final price na kuanzia Jumatatu watakuwa wanatoa bei elekezi kwa kila point of sales. Kuanzia 2022/23 financial hatutakuwa na hili tatizo.

"Mkoa wa Katavi walipandishiwa from 112,000 to 145,000 tumeagiza wakulima walionunua kwa bei hizo warudi na risiti zao kudai kurudishiwa ziada walizotozwa na TFRA inashughulikia hili.

"Kampuni za Primium na ETG tunawaadhibu kwa kupandisha bei siku ya tarehe 11 kutoka 106,000 mpaka 139,000 pale Songea mbolea aina ya UREA na kuagiza wakulima walionunua kwa bei hizo warejee pale kwenye maghala ya SUNAMKU na risiti zao warudishiwe pesa zao ziada.

"Nina washukuru sana mlioko hapa TWT kwa info mnazotoa na speaking out, Kampuni mbili zimechukuliwa hatua na TFRA kwa kupandisha bei holela katika Mkoa wa RUVUMA na KATAVI na kuanzia sasa TFRA itakuwa ina approve bei za kila Mkoa na Wilaya in consultation na suppliers."
 
Ameandika Waziri wa Kilimo Hussein Bashe katika ukurasa wake wa twitter. Nina Faham maumivu ya bei mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi bcs na mm binafsi ninanua kama Mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira Msimu ujao wa kilimo hautakua na maumivu haya

Changamoto ya bei tunaendelea kuifanyia kazi tunatengeneza mfumo utakao kuwa wa kudumu na wa kibajeti kwa ajili kukabiliana na tatizo la bei kuanzia mwaka wa fedha 2022/23

Kwa sasa TFRA itakua ina aapprove na kutangaza bei kila wiki kwa kila kamouni na kujua source price za CIF na logistic cost iki kudetermine fiinal price na kuanzia Jtatu watakua wanatoa bei elekezi kwa kila point of sales .Kuanzia 2022/23 financial hatutakua na hili Tatizo

Mkoa wa Katavi walipandiahiwa from 112,000 to 145,000 tumeagiza wakulima walonunua kwa bei hizo warudi na risiti zao kudai kurudishiwa ziada walizotozwa na TFRA inashugjulikia hili

Kampunia za Primium na ETG tunawaadhibu kwa kuapndiaha bei siku ya tarehe 11 kutoka 106,000 mpaka 139,000 pale songea mbolea aina ya UREA na kuagiza wakulima walonunua kwa bei hizo warejee pale kwenye maghala ya SUNAMKU na risiti zao warudishiwe pesa zao ziada

Nina washukuru sana mlioko hapa TWT kwa info mnazotoa na speaking out ,Kampuni mbili zimechukuliwa hatua na TFRA kwa kupandisha bei holela ktk mkoa wa RUVUMA na KATAVI na kuanzia Sasa TFRA itakua ina approve bei za kila mkoa na wilaya in consultation na suppliers
Bashe yuko misinformed, au nae anatuzuga. Anasema ishuke from 140,000 to 106,000/-, ina maana hajui kua hata hii 106,000/- tunapigwa? Mbona mwaka jana ilikua 60,000/-?

Au ndo anahalalisha tupigwe Kwa 106,000 aonekane shujaa ameishusha kutoka 140,000/-?? Anataka kwetu aonekane shujaa na Kwa wauzaji aonekane shujaa pia kuruhusu from 60,000/- to 106,000/-?
 
Back
Top Bottom