Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,965
- 95,392
Mzee pata og kabisa, unyamwezi huo ndio maana ume hifadhiwa kwa heshima.Zimekaa unyama nisijeonekana Mnyakyusa
Mzee pata og kabisa, unyamwezi huo ndio maana ume hifadhiwa kwa heshima.Zimekaa unyama nisijeonekana Mnyakyusa
usi nunue ma juice ya parachichi sasa 😂Feedback:
Beach kwa nyie wa ushuani ni sehemu za kubarizi ila kwa wanangu wa chini ya dollar moja 'tunachuja' huko hukoMzee pata og kabisa, unyamwezi huo ndio maana ume hifadhiwa kwa heshima.
Bro unafiki ume anza lini?, kuchuja muhimu maana pisi za washua ka nyinyi zina penda kampani za ma hardcore 😁Beach kwa nyie wa ushuani ni sehemu za kubarizi ila kwa wanangu wa chini ya dollar moja 'tunachuja' huko huko
Utu uzima ushaanza kupiga hodi kipindi cha ujana saiv ningeshaokota kafirst yearBro unafiki ume anza lini?, kuchuja muhimu maana pisi za washua ka nyinyi zina penda kampani za ma hardcore 😁
First year wa nini, 4m4 wa mwaka jana kitu mukide.Utu uzima ushaanza kupiga hodi kipindi cha ujana saiv ningeshaokota kafirst year
Raha ya mpira wa miguu mkutane pro sio moja UEFA mwingine mwingine ligi ya mkoaFirst year wa nini, 4m4 wa mwaka jana kitu mukide.
Kali mzee, kitambi miyeyusho bro.View attachment 3490401
Mchawi kitambi tu. Nilipata izi mzee.
Hivi ni pure talent, anakuja ku perform kwenye level ya amateur hadi kuwa pro.Raha ya mpira wa miguu mkutane pro sio moja UEFA mwingine mwingine ligi ya mkoa
Msuli kwa sisi wenye hisia za tembo, lazima mguu wangu wa tatu ulete usumbufu.T-shirt ya cotton,msuli na malapa ya Relaxo kutoka India
Utapozwa na upepo wa beach(ufuoni) 😄 😆 😄Msuli kwa sisi wenye hisia za tembo, lazima mguu wangu wa tatu ulete usumbufu.
TunashukuruZimekaa unyama nisijeonekana Mnyakyusa
Team kubwa hazitoi fursa kwa mchezaji kujifunzia hapo wanataka ukifika onesha maajabu pasi mbili ya tatu 'walete kati'Hivi ni pure talent, anakuja ku perform kwenye level ya amateur hadi kuwa pro.
ndio maana kuna scholarship bro, angalia Neymar, ostavio, yamal, cr7.Team kubwa hazitoi fursa kwa mchezaji kujifunzia hapo wanataka ukifika onesha maajabu pasi mbili ya tatu 'walete kati'
Kocha anakuongezea ambacho ww tayar unachondio maana kuna scholarship bro, angalia Neymar, ostavio, yamal, cr7.
Ukiwa coach usi ogope kufanya recruitment.