mitindo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. greater than

    Huu ni moja kati ya mitindo migumu ya kudesign majengo

    Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia. Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati. 1. A.MTINDO WA MODERN ulianzishwa miaka ya 1920 Ulianzia ulaya Umbo la jengo hutokana na kazi husika Utumizi wa...
  2. greater than

    Tuangazie katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo

    MAKALA MAALUM karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi. Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo. 1.Kama ilivyo kwa Mavazi na Simu;Majengo nayo huwa na muonekano wa mitindo tofauti tofauti yenye kuvutia...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

    MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
  4. Mwachiluwi

    Tetesi: Richi Mitindo na Jackline Wopler wameachana

    Kuna taarifa za chini chini richi kaachwa na Jack sababu kila mtu kashindwa kuwa mvumilivu kwa mwezie. Sasa mwazo Jack alikuwa anahisi kama mumewe ana videmu uko nje akaanza vizia simu ya mumewe akaja kukutana wanaitana bby na mwanaume mwezie hakuamini. Alijaribu kuvumilia akashindwa akaenda...
  5. W

    Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
  6. M

    MITINDO YA KUJAAMIANA YAWEZA KUVUNJA UUME

    Utafiti uliofanywa na idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebaini mitindo ya kujamiiana inaweza kusababisha uume kuvunjika. Utafiti huo unaeleza miongoni mwa mikao hiyo ni mwanamke kukalia uume. Utafiti huo uliochapishwa leo Jumanne, Julai 4, 2023 kwenye...
  7. Boss la DP World

    Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  8. Mr Lukwaro

    Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

    Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
  9. Mpasuaji wa Manesi

    Wanaume, Mitindo ya uchezaji na Uanaume

    Wanaume, Sherehe ni jambo lililowekwa na wanadamu ili waweze kufurahia mafanikio yao na wengine hufanya sherehe wakati wa kuomba Dua kwa miungu yao. Vilevile Sherehe ilikuwa ni swala ambalo hufanyika kuonyesha Mwanzo au Mwisho wa Maisha fulani au hatua fulani katika Maisha. Mfano; Kuzaliwa kwa...
  10. BARD AI

    Pharrell Williams ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa Loius Vuitton

    Rapa, Mtayarishaji Muziki na Mfanyabiashara Pharrell anachukua nafasi iliyoachwa na Mbunifu wa Mavazi, Virgil Abloh aliyefariki dunia November 28, 2021 baada ya kuugua Saratani kwa miaka 7. Kwa mujibu wa Louis Vuitton, toleo la kwanza na Ubunifu wa Pharrell litaoneshwa kwenye Wiki ya Mitindo ya...
  11. L

    Wiki ya 20 ya Mitindo ya Mavazi ya Dakar yafanyika ili kuonyesha mitindo ya kienyeji katika Afrika Magharibi

    Wiki ya 20 ya Mitindo ya Mavazi ya Dakar yafanyika ili kuonyesha mitindo ya kienyeji katika Afrika Magharibi.
  12. L

    Maonyesho ya nguo za mitindo ya 'Metaverse' yafanyika Hong Kong, China

    Tarehe 9 Juni 2022, mradi wa nguo za mitindo "Juxtaposed 2022 FASHION META" ulioandaliwa na shirikisho la wabunifu wa nguo za mtindo wa Hong Kong ulifanyika na kusherehekea kumbukumbu ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa eneo maalumu la Hong Kong.
  13. R

    Nguo na Mitindo ya Zamani ambayo kwa sasa ukivaa ni kituko

    Ninafanya utafiti kwa hiyo naomba mfano nakumbuka travolta, viatu vya raizon, eh nyingine.
Back
Top Bottom