Mchawi kitambi, kwahiyo kinjuka na shirt flani.. chini?
Wee ukiendaga unavaa nini??? Hebu tupia nisafishepo macho mimi!
Speedo...Wee ukiendaga unavaa nini??? Hebu tupia nisafishepo macho!
Mkuu, kama zinaangaza hivi auKitanashati zaidi😍
View attachment 3488212
Zimekaa unyama nisijeonekana MnyakyusaKa hizi, au zile za chini
View attachment 3488209
Ndiyo mkuu.Mkuu, kama zinaangaza hivi au
Zote hizo unyama kasoro hiyo ya juu. Usisahau na slippers za rangi rangi na kamiwani ukiweza kuafford suncreen itapendeza zaidiView attachment 3488218View attachment 3488219View attachment 3488220
Ipi kati ya hizi tatu mkuu nijiweke
Ina depnd na rangi yako na umri wakoView attachment 3488218View attachment 3488219View attachment 3488220
Ipi kati ya hizi tatu mkuu nijiweke