Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Dr naye anapenda sifa!! kwan yeye ndo nani bwana?? awe chini tu ili tuunganishe mapambano but itajulikana mbele ya safari....akiondoka ukawa utayumba sana.plz Dr tunakuhitaji zaid ya kipind chochote ni sasa....tuungane tuingoe ccm then mengine yatafuata
 
Kuna wakati huwa najiuliza, hivi watanzania ni mabumbumbu kiasi kwamba hawawezi kufikiria hata kidogo? Jibu ninalopata ni kuwa inawezekana kuwa sio kweli ila kuna baadhi inawezekana huwa ni mbumbumbu. Nasema hivyo kwa kuwa mtoa mada amesema Mwanachama aliyepokelewa na CHADEMA ni mhujumu uchumi, fisadi na maneno mengi ya ambayo hayana kichwa wala miguu. Naomba kukuuliza swali hivi huyo Lowasa aliwahi kususishwa na kashifa ngapi? Najua utasema Richmond, kama ni kweli alichukuwa ni shs ngapi? Nakuomba unijibu, kwa muda wote wa miaka 8 ambayo aliacha uwaziri mkuu ni kashifa ngapi tena za hela kubwa zimepigwa ndani ya CCM? Au hayo hauyaoni?

Bwana Muchunguzi tusiwe wajinga kumtetea mtu ambae sisi ndiye tuliokua wasisi wakuona fisadi .
Mbowe,Slaa,Lisu,Kamanda Lema hawa ndio waliokua wakituaminisha kwamba EL ni fisadi tena wakamtaka aende mahakamani kwani ushahidi upo,
Sasa leo huu urahisi wakumpa nafasi yakugombea uraisi kupitia chama tena gafla hivi huu ni ujinga hapa kuna mchezo mchafu si kwa maslahi ya chama bali mbowe na hii ndio sababu Dr anaona bora akae pembeni.
 
Dr slaa ana hulka ya kususa ni matukio mengi ya ameweka record ya kususa lkn mambo yamesonga na kujoin badae asila zikimwisha
 
Hasila zikimwisha atajoin badae tumwache kwanza atafakali
 
Kuna wakati huwa najiuliza, hivi watanzania ni mabumbumbu kiasi kwamba hawawezi kufikiria hata kidogo? Jibu ninalopata ni kuwa inawezekana kuwa sio kweli ila kuna baadhi inawezekana huwa ni mbumbumbu. Nasema hivyo kwa kuwa mtoa mada amesema Mwanachama aliyepokelewa na CHADEMA ni mhujumu uchumi, fisadi na maneno mengi ya ambayo hayana kichwa wala miguu. Naomba kukuuliza swali hivi huyo Lowasa aliwahi kususishwa na kashifa ngapi? Najua utasema Richmond, kama ni kweli alichukuwa ni shs ngapi? Nakuomba unijibu, kwa muda wote wa miaka 8 ambayo aliacha uwaziri mkuu ni kashifa ngapi tena za hela kubwa zimepigwa ndani ya CCM? Au hayo hauyaoni?

Haa tumekosa penalti!

 
Bila Dr Slaa uchguzi ni mgumu sana na hasa kwa mikoa ya kanda ya ziwa na nyanda za juu kisini ambako ndio kwenye kura nyingi

Hamna cha ugumu wowote safari hii hata tukisimamisha jiwe tutapita,ccm imechoka,imechokwa na baba riz katuchosha no way out,ni kuwachinja tu
 
Nikuulize swali moja tunla msingi,Nani aliitoa CDM toka mbegu mpaka leo umeanza kuwa mchicha?Hivi siku zote hizo Lowassa alikuwa hajui kama kuna CDM?Hivi kwanini hakwenda Act wazalendo?

Ametafuta vilivyoundwa vikaundika ndipo anakuja siyo.Na nyienvijana wa CDM mliolelewa nanDr.Slaa mpaka.mkajua nini maana ya haki leo kweli mnadiriki kumkashfu na kumtusi sababu ya Fisadi moja linalopendanvyeo mpaka kununua?

Mnajua kuna watu tunajua utendaji kazi wa Lowassa na wa Dr.Slaa?

Unauhakika atakuwa anakipenda chama kama Dr.Slaa?Hivi unauhakika kamq baraza lake la mawaziri kesha wapania akina Chenge & coy?

Kuweni watu wa shukrani.Hamuwezi jua kitu gani anakisisitiza Dr.Slaa kifanyiwe kazi kabala mengine hayaguswa.

Mbowe anajua umuhimu wake amerudi na kwenda kufanya mazungumzo,anajua wapi mtakwama.

Mdogo wangu usitukana mamba kabla haujavuka mto.Angalieni weledi wa Dr.Slaa na nia ya dhati ya kulijenga taifa letu bila rushwa.

Acheni matusi hayajengi bali yanabomoa.Mmecheza ngoma ya Team Lowassa toka CCM.Mmeshindwa kumuheshimu kiongozi wenu,mmekimbilia makapi.

Rudini nyuma ondoeni makosa tutakuwa pamoja.Vinginevyo hamtafika mnakoenda na huyo mgonjwa wenu
Unalalamika nini?ulitaka Slaa afanywaje?cheo cha ukatibu mkuu hakimtoshi?
 
Nitafurahi sana ikiwa Slaa ataendelea kuhudumu CHADEMA.
Wengine wanaweza uza chama kama Slaa hayupo.
kiuzwe mara ngapi?toka nimejua Freeman ndio mwenyekiti chadema niliacha kushabikia upinzani.
 
Wabongo bado mko palepale,ushabiki maandazi na kufata mkumbo.sioni mabadiliko ya mageuzi hapa na hii ni awamu ya nne naandika the same thing,nilishasema mageuzi kwa kutegemea chadema tusahau,wameleta hadithi ya ukawa na sasa wamenunuliwa wooote chadema na ukawa.ccm hoiye.wacha tuendelee kuibiwa kidogodogo kuliko kuuzwa kabisa
Still sijui hizo bilion 10 zitarudi vipi kama huyu bwana mgombea lazima urahisi akishindwa.tuangalie wa Tanzania AMANI YETU.huyu anaweza kuhamasisha watu waingie mtaani tukose wote,na ndipo balaa litakapoanzia na nchi yenu hiyo mniita ya amani,the guy should be stoped NOW!
 
Dr slaa ana hulka ya kususa ni matukio mengi ya ameweka record ya kususa lkn mambo yamesonga na kujoin badae asila zikimwisha

Nafikiri kauli yako haina nidhamu wala adabu,kumuita Dr slaa anapenda kususasusa ni kumkosea adabu
 
Nafikiri kauli yako haina nidhamu wala adabu,kumuita Dr slaa anapenda kususasusa ni kumkosea adabu

Chadema hawajui wengine tulimpigia Dr Slaa , Mbowe anafikiri Lowassa kaingia na watu million moja lkn hajui million moja nyingine imeondoka na Dr Slaa, hatupendi chama tunapenda MTU, Wengine tuna principle zetu Hata mtu kama ametuhumiwa hatuwezi mwamini tena
 
Unalalamika nini?ulitaka Slaa afanywaje?cheo cha ukatibu mkuu hakimtoshi?

Aliyekwambia anautaka URAIS nani?Kuweni na heshima basi kidogo.Ndugu yangu Ukiona kinaelea Kimeundwa.

Na usiache mbachao kwa msala upitao.Msitukane wakunga uzazi ungalipo.

Shauri yenu.................
 
Chadema hawajui wengine tulimpigia Dr Slaa , Mbowe anafikiri Lowassa kaingia na watu million moja lkn hajui million moja nyingine imeondoka na Dr Slaa, hatupendi chama tunapenda MTU, Wengine tuna principle zetu Hata mtu kama ametuhumiwa hatuwezi mwamini tena

Na hapa ndipo shaka inapoonekana kuna maslahi gani zaidi ya maslah ya kisiasa yanayopatikana kwa wachache wanao force na kumpuuza Dr Slaa,hili jambo linapaswa litizamwe sawasawa
 
Bado natafakari kauli ya Waziri Mkuu wa zamani Bw. Frederick Tuluway Sumaye kwamba Tanzania tusipokuwa makini ipo siku tutaongozwa na rais muuza unga.Kumbuka kwamba Sumaye na Lowassa ni mahasimu wakubwa wa kisiasa,je alimlenga nani kwa kauli hiyo?Watanzania muwe makini,mkionywa mmuelewe.Mlionywa kwa Professor Kikwete lkn hamkusikia,Leo hii mnajuta.Mnaonywa tena kwa Lowassa hamtaki kusikiliza,Dr Slaa anamjua Lowassa kuliko nyinyi mnavyomjua,mnajua karibu viongozi wote wa dini wanafahamu masuala ya usalama ya utaifa,Wana mafaili ya viongozi wengi wa serikali.Dr Slaa amemkataa Lowassa kwasababu ya mapenzi makubwa na uzalendo wa hali ya juu alio nao kwa taifa hili na watu wake,hayupo tayari kutusaliti na kuandikwa ktk vitabu vya history kama ni miongoni mwa watu waliobariki nchi yetu kuwekwa mikononi mwa akina Lowassa na kundi lake.
 
Dr naye anapenda sifa!! kwan yeye ndo nani bwana?? awe chini tu ili tuunganishe mapambano but itajulikana mbele ya safari....akiondoka ukawa utayumba sana.plz Dr tunakuhitaji zaid ya kipind chochote ni sasa....tuungane tuingoe ccm then mengine yatafuata

hakuna anayependa sifa kuliko LOWASA
 
Back
Top Bottom