Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Ameshakabidhiwa bahasha yake huyoo amelegea
Sijui kwa nini mimi naamini kama wewe nabishana na wenzangu hapa nipo sio kwamba chadema strategiclly wanahamisha mashambulizi ilikuwa lowassa kuhamia sasa ni Dr KUpumzika itakuja lowassa kurudisha fomu tayari tunaingia kwenye kampeni ccm na Maghufuri wakiwa wamesahaulika kabisaCDM wajanja,nahisi wanataka habari iwe ni DR slaa ili promo kwa magufuli upungue.very trickfull!
Kuna mmoja anaitwa John Lucian mwenye number one hotel.
Peponimsonge mbele kwenda wapi?
Ameshakabidhiwa bahasha yake huyoo amelegea
Hilo ni jina tu usiogope haiwezekani kamati kuu yote na vyama shirika vya ukawa wakubaliane mtu mmoja tu anapinga ina maana yeye slaa kila analotaka ndiyo lazima liwe? Lazima akubali kuwa na wengine pia wana mawazo mazuri. Mimi dr namkubali ndiyo maana najikuta natumia lugha kali kidogo samahani kwa niliowakwaza
Docta yupo bado chadema tumempa muda ajitafakali