chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Mbona hiyo picha kama ni ya wazee wa karatu nawajua wawili hapo niliwai kuwaona krt ila sidhan kama ni wazaliwa wa huko au walikuwa kikazi . Ntafurahi kusikia doctor karudi tupo nae chadema
Siku hizi sikapendi haka kazee🙄😕😎
Uko sahihi sana mkuu,vijana wa lumumba wamemwaga humu kuleta propaganda chafu hata usalama wa taifa nao wameingia kwenye mtego
Naomba Mungu iwe kweli!.
Lawama zote za watanzania endapo ukawa itashindwa lazima zidondokee dr slaa, na haizitafutika ktk historia ya Tanzania yetu na zitakuwa na madhara makubwa sana kwake. Anatakiwa kufikiria mara mbili na kutafakari kwa makini.
Kwani lini ulikuwa unampenda? Wewe si mmekuja juzi na sanamu lenu baada ya kukatwaa?
Mbona hiyo picha kama ni ya wazee wa karatu nawajua wawili hapo niliwai kuwaona krt ila sidhan kama ni wazaliwa wa huko au walikuwa kikazi . Ntafurahi kusikia doctor karudi tupo nae chadema
Ni wazee toka Karatu na niwazaliwa Karatu Mr.Ombay, Jublate Mnyenye Teacher ndio nimewatambua
Kwani lini ulikuwa unampenda? Wewe si mmekuja juzi na sanamu lenu baada ya kukatwaa?
Mbona hiyo picha kama ni ya wazee wa karatu nawajua wawili hapo niliwai kuwaona krt ila sidhan kama ni wazaliwa wa huko au walikuwa kikazi . Ntafurahi kusikia doctor karudi tupo nae chadema
Ushindi upo waziwazi na si kitu cha kuuliza. Kukosa hatuwezi ila zitapungua kidogo sana..... Kuwa na imani cdm wanashinda.Kama ushindi ni lazima kupitia kwa EL, bora tukose tuu.
Pichani wa kushoto simkumbuki, J. Mnyenye,anafuata Teacher manager wa KAVIWASU karatu, Dr Slaa, baada ya Dr simkumbuki, anayefuta John Luciani diwani na mwisho kulia ni Engineer wa Halmashauri ya Wilaya Karatu.
Jamani makamanda tumieni busara, tukigombana sisi kwa cc ni faida kwa magamba laanatullah.
Niambie hii picha ni ya kweli au ni ya tukio la siku za nyuma?
Inaweza kuwa nzuri sana.kama itakuwa kweli....Slaa tunamhitaji pia