laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
Ntaamini nitapomwona kwenye kikao cha kamati kuu.
Huyu mzee anakera sana,, Watu tunajiandaa kuchukua nchi ye anatuletea mapozi..
Ntaamini nitapomwona kwenye kikao cha kamati kuu.
Mtateseka sana mwaka huu na mikakati ya CHADEMA huku mkitelekeza mgombea wenu.Mkuu hayo maneno tafadhali sana labda waambie Bavicha.
Chadema ni mali ya Mbowe na Mtei.
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Nitawawekea picha baadae kidogo.
Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
![]()
Hasa Lizaboni na Manyerere
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Nitawawekea picha baadae kidogo.
Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
![]()
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Nitawawekea picha baadae kidogo.
Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
![]()
likizo mwisho kesho
View attachment 273362
Huyu mzee anakera sana,, Watu tunajiandaa kuchukua nchi ye anatuletea mapozi..
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.
Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.
Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
Wewe toka lini ni chadema? Sio mbaya kututabiria kuchukua nchi. Lakini mkome kumdhalilisha Dr. Heshima ya Dr haina mfano kwenye nchi hii, labda wariobaHuyu mzee anakera sana,, Watu tunajiandaa kuchukua nchi ye anatuletea mapozi..
Lawama zote za watanzania endapo ukawa itashindwa lazima zidondokee dr slaa, na haizitafutika ktk historia ya Tanzania yetu na zitakuwa na madhara makubwa sana kwake. Anatakiwa kufikiria mara mbili na kutafakari kwa makini.
Wewe toka lini ni chadema? Sio mbaya kututabiria kuchukua nchi. Lakini mkome kumdhalilisha Dr. Heshima ya Dr haina mfano kwenye nchi hii, labda warioba