Siyo ukawa Tena,Ushindi upo waziwazi na si kitu cha kuuliza. Kukosa hatuwezi ila zitapungua kidogo sana..... Kuwa na imani cdm wanashinda.
Siyo ukawa Tena,
Jamani hamjaangalia ITV usiku huuu kauli ya mbowe na naibu katibu mkuuu visiwani
msonge mbele kwenda wapi?Mkuu Pisto Lero,
Sijui kwanini,ila nimekuamini kwa hii taarifa yako. Niko kwenye Maombi, naomba Dr Slaa asituache na katu asichukizwe na Matusi Dharau na Kejeri za watu hapa ndani. Yeye ni mtu mzima, achukile haya yanayotokea hapa ndani na kwingine ni kinyesi cha mtoto kwenye kiganja cha mama, Tusonge mbele.
BACK TANGANYIKA
Tatizo ID yako.Yaani na tabia pia inaiga ID yako unadhani watu wananjaa...pole
Ni wazee toka Karatu na niwazaliwa Karatu Mr.Ombay, Jublate Mnyenye Teacher ndio nimewatambua
Mkuu hayo maneno tafadhali sana labda waambie Bavicha.
Chadema ni mali ya Mbowe na Mtei.
Frankly speaking, CHADEMA yote pamoja na maingizo mapya, hakuna mwenye uwezo kama wa Slaa the Dr. na kiukweli ili kuendelea kukijenga na kukiwekea mazingira mazuri ktk uchaguzi huu anatakiwa sana hata kuliko Mbowe.Anajua kupanga hoja na kuongelea yanayowagusa wengi.