Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

hakuna jambo sipendi km zarau anayofanyiwa dr slaa kumbuka mtei alimwambia dr slaa nitakufuza uanachama km unataka kugombea ukagombee udiwani kwenu,kwakweli nikauli mbya sna naya dhihaka kwa mtu aliyepigania chama nakuijenga km dr slaa.leo mbowe anatoa maneno ya kejeli km hayo kwa dr kweli binadamu hana shukrani.km hakuna mkubwa kwanini kamati kuu waliburzwa ktk kumpokea luwasa hadi wengne kufika hatua yakuwahonga ili wakubaliane na mbowe na baba mkwe wake mtei?hapo tuseme hakuna mkubwa?tusijidanganye cdm ina wenyewe.

uchungu wako umepitiliza mpaka unatia shaka kuwa wewe ni ukoo wa Lumumba kama sivyo una vinasaba vya huko
 
hakuna jambo sipendi km zarau anayofanyiwa dr slaa kumbuka mtei alimwambia dr slaa nitakufuza uanachama km unataka kugombea ukagombee udiwani kwenu,kwakweli nikauli mbya sna naya dhihaka kwa mtu aliyepigania chama nakuijenga km dr slaa.leo mbowe anatoa maneno ya kejeli km hayo kwa dr kweli binadamu hana shukrani.km hakuna mkubwa kwanini kamati kuu waliburzwa ktk kumpokea luwasa hadi wengne kufika hatua yakuwahonga ili wakubaliane na mbowe na baba mkwe wake mtei?hapo tuseme hakuna mkubwa?tusijidanganye cdm ina wenyewe.
Wewe aire man, nenda ukavute bangi, wapi ulimsikia mzee Mtei anamwambia Dr slaa atamfukuza chama? Acha ujinga wewe
 
hatuwezi kuogopa kuchukua wanachama wapya sababu ya hofu ya mtu ...tunaendelea atakapokuwa tayari atakuja mbele ya safari-MBOWE
 
Time Is of essence here! political landscape imebadilika tremendously! Hakuna muda Wa kusubiri kila mtu "azinduke!" kuliona hilo! tunampenda Dr Slaa, tunaheshimu utumishi Wake uliotukuka kwa CDM, MAGEUZI NA UKOMBOZI Wa nchi yetu, BUT, But! Desparate situations demand desparate solutions, tunamtakia dr. Slaa "mapumziko" mema. Inshaalah, atakapokuwa tayari tutampokea kwa heshima na BASHASHA kubwa na kuendelea nae kwenye safari ya MABADILIKO, Mungu amjalie afya njema na utulivu Wa kiroho na kisaikolojia, Amen

Maoni kuntu bila chenga!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom