Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Leo mbowe kamdhihaki sana slaa eti mbele ya chadema hakuna mkubwa

hakuna jambo sipendi km zarau anayofanyiwa dr slaa kumbuka mtei alimwambia dr slaa nitakufuza uanachama km unataka kugombea ukagombee udiwani kwenu,kwakweli nikauli mbya sna naya dhihaka kwa mtu aliyepigania chama nakuijenga km dr slaa.leo mbowe anatoa maneno ya kejeli km hayo kwa dr kweli binadamu hana shukrani.km hakuna mkubwa kwanini kamati kuu waliburzwa ktk kumpokea luwasa hadi wengne kufika hatua yakuwahonga ili wakubaliane na mbowe na baba mkwe wake mtei?hapo tuseme hakuna mkubwa?tusijidanganye cdm ina wenyewe.
 
Sasa unafikiri mbele ya CDM kuna mkubwa??

Huko CCM Si ndio msemo weno kwamba hakuna mkubwa zaidi ya chama?? Slaa asuse asisuse bado tutapigia kura UKAWA

BIG NO MM NA NYUMBA ANGU HAPANA.tunaogopa combination ya mbowe na luwasa nasawa na fisi wenye njaa kali sna
 
Slaa alikuwa anatoa houba zinazo enda moyoni na si kichwani.kama kushusha vifaa vya ujenzi nilipenda sana.sasa nirudi tu ccm.
 
Dk ameonyesha udhaifu.

Sita acha kumuhitaji dr Slaa ni mtu muhimu sana kwa uhai wa chadema na ukawa kwa ujumla ushabiki wa ovyo ovyo ckubaliani nao hapo kila juhudi zifanyike Slaa awe safu ya mbele katika kushambulia vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu
 
Silaa kasema hana tatizo watu wajieleze juu ya kashfa zao na hana tatizo kaelewa somo atarudi mzigoni jumamosi
 
Amani Kwenu JF.Sote Tumesikia Kuhusu Dr.Slaa.Inatia Simanzi.Si Vema Kupuuza Mchango Wa Zaidi Ya Miaka 15 Wa Jasho Na Damu Kwa Ajili Ya Chama. Sichukii Ujio Wa EL Lakini Huwezi Kumshawishi Dr.Slaa Ukiwa Peke Yako Maana Kiongozi Ni Mali Ya Chama Na Si Mtu Binafsi.Ungeenda Na Prof Safari,prof Lipumba,MabereMarando,Prof Baregu,EL Mwenyewe Na Wazee Wengine.Mchango Wa Slaa Kwenye Chama Usipuuzwe Kwa Kutoa Maneno Ya Kuudhi.Ni Mtu Wa Muhimu Ili Kuleta Umoja Wa Kweli Ktk Chama.NashauriMumsihi Kwa Heshima Arudi.Ahsante

Time Is of essence here! political landscape imebadilika tremendously! Hakuna muda Wa kusubiri kila mtu "azinduke!" kuliona hilo! tunampenda Dr Slaa, tunaheshimu utumishi Wake uliotukuka kwa CDM, MAGEUZI NA UKOMBOZI Wa nchi yetu, BUT, But! Desparate situations demand desparate solutions, tunamtakia dr. Slaa "mapumziko" mema. Inshaalah, atakapokuwa tayari tutampokea kwa heshima na BASHASHA kubwa na kuendelea nae kwenye safari ya MABADILIKO, Mungu amjalie afya njema na utulivu Wa kiroho na kisaikolojia, Amen
 
Haya kamanda ngoja nikufurahishe ni kweli ni kweli hao wazee wa Chadema wamepiga picha nyumbani kwa Dr.Slaa, aliowapiga picha hiyo ni mzee Mtei, umefurahi sasa mgogoro umeisha.

Mzee Mtei cameraman !! SIMAMIA UKWELI,kama huna uhakika kama mimi kaa pembeni sio lazima uchangie.
 
hakuna jambo sipendi km zarau anayofanyiwa dr slaa kumbuka mtei alimwambia dr slaa nitakufuza uanachama km unataka kugombea ukagombee udiwani kwenu,kwakweli nikauli mbya sna naya dhihaka kwa mtu aliyepigania chama nakuijenga km dr slaa.leo mbowe anatoa maneno ya kejeli km hayo kwa dr kweli binadamu hana shukrani.km hakuna mkubwa kwanini kamati kuu waliburzwa ktk kumpokea luwasa hadi wengne kufika hatua yakuwahonga ili wakubaliane na mbowe na baba mkwe wake mtei?hapo tuseme hakuna mkubwa?tusijidanganye cdm ina wenyewe.

Weka audio tuhakikikishe.
 
Sema chochote,kama hii picha ni ya kweli na ya leo
 

Attachments

  • 1438784948882.jpg
    1438784948882.jpg
    22 KB · Views: 967
kwani wako wapi hapo? au tuseme wameenda kumbembeleza
 
Hakyanani jamaa mjengo wake ka mamtoni, kumbe pepo ziko hapahapa duniani.
 
Tutasikia mengi sana kwa kipindi hiki ila tusubiri tamko la Slaa mwenyewe na Lipumba vipi amemalizanaje na wazee we CUF?
 
Back
Top Bottom