Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
attachment.php

Hizi stori tumezichoka. mara leo kuwepo kwenye vikao vya chama mara amezungumza na wazee
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Tunahitaji picha, kama ni uvumilvu yatosha. Huyu Mzee ametupasua kichwa sana. Kama amepewa pesa kweli kama mitazamo ya watu wengi ilivyo, atakuwa si mwanamageuzi wa kweli. Ila kwa mtazamo wangu, hata kama akiondoka hatupunguzii lolote. Tutajipa moyo wa kushinda na tutashinda tu.
 
Sasa kama mwamtaka SLAA arejee, kwanini mmemnyanyapaa ktk maamuzi nyeti ya chama?
 
Back
Top Bottom