ndevu mzazi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 687
- 238
Siyo pia, bali "Tunamhitaji Sana"
SLAA is the main guy.watoto hawajui tu
Siyo pia, bali "Tunamhitaji Sana"
Bwana Muchunguzi tusiwe wajinga kumtetea mtu ambae sisi ndiye tuliokua wasisi wakuona fisadi .
Mbowe,Slaa,Lisu,Kamanda Lema hawa ndio waliokua wakituaminisha kwamba EL ni fisadi tena wakamtaka aende mahakamani kwani ushahidi upo,
Sasa leo huu urahisi wakumpa nafasi yakugombea uraisi kupitia chama tena gafla hivi huu ni ujinga hapa kuna mchezo mchafu si kwa maslahi ya chama bali mbowe na hii ndio sababu Dr anaona bora akae pembeni.
wazee wa siku hizi bana kama madogoUmemaliza au bado unaendelea??
Kama umemaliza tuanze stori za EPL...
Ahsanta....
yaani Dr slaa ndiye mwenye kiberiti , ni kama vile mmemwaga petroli kwenye kichaka halafu mwenye kiberiti hayupo.Siku nikimwona DR. Slaa yupo jukwaani basi nitajua fika kwamba jeneza la CCM limeshamalizika kuchongwa, ili mwili uweze kuwekwa ndani na kupumzishwa kwa amani milele.
DR. Slaa sara /dua zetu tunazitanguliza kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, sauti ya wengi ndiyo sauti ya Mungu.
Tunakusubiri kwa hamu Kamanda Mkuu.
Mkuu naomba tafuteni historia ya Slaa kwenye maswali ya uongozi na nafasi ya wenzi wake ktk maamuzi aliyo wai kufanyaMkuu Pisto Lero,
Sijui kwanini,ila nimekuamini kwa hii taarifa yako. Niko kwenye Maombi, naomba Dr Slaa asituache na katu asichukizwe na Matusi Dharau na Kejeri za watu hapa ndani. Yeye ni mtu mzima, achukile haya yanayotokea hapa ndani na kwingine ni kinyesi cha mtoto kwenye kiganja cha mama, Tusonge mbele.
BACK TANGANYIKA
Amani Kwenu JF.Sote Tumesikia Kuhusu Dr.Slaa.Inatia Simanzi.Si Vema Kupuuza Mchango Wa Zaidi Ya Miaka 15 Wa Jasho Na Damu Kwa Ajili Ya Chama. Sichukii Ujio Wa EL Lakini Huwezi Kumshawishi Dr.Slaa Ukiwa Peke Yako Maana Kiongozi Ni Mali Ya Chama Na Si Mtu Binafsi.Ungeenda Na Prof Safari,prof Lipumba,MabereMarando,Prof Baregu,EL Mwenyewe Na Wazee Wengine.Mchango Wa Slaa Kwenye Chama Usipuuzwe Kwa Kutoa Maneno Ya Kuudhi.Ni Mtu Wa Muhimu Ili Kuleta Umoja Wa Kweli Ktk Chama.NashauriMumsihi Kwa Heshima Arudi.Ahsante