gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,358
- 3,420
Bado natafakari kauli ya Waziri Mkuu wa zamani Bw. Frederick Tuluway Sumaye kwamba Tanzania tusipokuwa makini ipo siku tutaongozwa na rais muuza unga.Kumbuka kwamba Sumaye na Lowassa ni mahasimu wakubwa wa kisiasa,je alimlenga nani kwa kauli hiyo?Watanzania muwe makini,mkionywa mmuelewe.Mlionywa kwa Professor Kikwete lkn hamkusikia,Leo hii mnajuta.Mnaonywa tena kwa Lowassa hamtaki kusikiliza,Dr Slaa anamjua Lowassa kuliko nyinyi mnavyomjua,mnajua karibu viongozi wote wa dini wanafahamu masuala ya usalama ya utaifa,Wana mafaili ya viongozi wengi wa serikali.Dr Slaa amemkataa Lowassa kwasababu ya mapenzi makubwa na uzalendo wa hali ya juu alio nao kwa taifa hili na watu wake,hayupo tayari kutusaliti na kuandikwa ktk vitabu vya history kama ni miongoni mwa watu waliobariki nchi yetu kuwekwa mikononi mwa akina Lowassa na kundi lake.
Kaka pesa ni kitu kingine kabisa,yani leo EL anaonekana wa thamani kubwa kuliko Dr slaaa hii ni dharau kubwa