Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,949
- 7,859
Sawa leo nakutumia salamu redioni kua tayariInaleta sitaki!
Sawa leo nakutumia salamu redioni kua tayariInaleta sitaki!
Kanda ya ziwa ndio zao hizo
Kuna mzee mmoja alimpa kijana wake wa darasa la saba dawa ili apendwe na binti ya mwalimu mkuu. Yule kijana akaimwaga dawa mlangoni mwa darasa, so wasichana wote wakakanyaga. Wasichana wote wa darasa wakaanza kumpenda kijana, wanamfuata kila anapoenda, yaani kundi zima. Huku wakimwambia "TWINAGI" yaani TUPATIE 😆😆😆
Fictional storyKanda ya ziwa ndio zao hizo
Kuna mzee mmoja mganga wa kisukuma alimpa kijana wake wa darasa la saba dawa ili apendwe na binti ya mwalimu mkuu. Yule kijana akaimwaga dawa mlangoni mwa darasa, so wasichana wote wakaikanyaga. Wasichana wote wa darasa wakaanza kumpenda kijana, wanamfuata kila anapoenda, yaani kundi zima. Huku wakimwambia "TWINAGI" yaani TUPATIE 😆😆😆
Shida yenu nyie wote wa mjini, mje huku village muone mambo😆😆😆Fictional story
Hmm mbona hawarogagi uchumi wao ni ujingaujinga tu!Shida yenu nyie wote wa mjini, mje huku village muone mambo😆😆😆
Vimeng'ang'aniana kidugu zaidi.How?
Hata kama ni mshauri mmbovu?Chukua ushauri wa wazee!wameona mengi
😅😅😅noma sanaKwa mwanaume dawa ya mapenzi ya uhakika ni Tigopesa. Hayo mambo ya uchawi wa mapenzi wanatakiwa kufanya wanawake na sio wanaume
. Hao wazee ni mamwinyi na hawanaga akili hao. Kule Liwale kuna mganga mmoja wa mapenzi anatumia UCHAWI WA MTO ( Huu unatajwa ndio uchawi wenye nguvu sana kwenye kumuita mpenzi. Ni uchawi unatengenezwa kwa kutumia tope za kwenye mto unao tembea. Tope zinachukuliwa kwenye pande mbili za mto kulia na kushoto then zinakaushwa na madawa ya porini na panzi walionaswa wakiwa wanajamiiana wakafungwa wakafa hivyo hivyo wakiwa wamenasana wakifanya mapenzi.. Huu uchawi hutumika kumchomea mpenzi anakufuata kesho yake)
Ila sasa kwa huyo mganga ukienda kwake mwanaume halafu akagundua shida yako ni mapenzi ata kwambia ukasubirie nje ukae sehemu ambayo wateja wake wanawake wanasubiria zamu ya kuingia Kilingeni.. Hapo kwake ana wateja wengi sana ,wanawake kwa wanaume. Wanawake wanasubiria sehemu Yao na wanaume wanasubiria sehemu Yao.. Msaidizi wake anakuwa anakuja kuita majina kwa namba ataanza na wanawake watatu kisha baadae wanaume watatu hivyo hivyo Hadi usiku. Sasa wewe kidume ukienda kwa ajili ya dawa ya mapenzi anakuweka pamoja na wanawake na zamu yako inakuwa mwishoni kabisa na usipo angalia zamu yako inaweza kuwa baada ya siku tatu..
Anakuweka ukae pamoja na wanawake kwa sababu amekudharau amekuona wewe akili zako ni kama za wanawake na haustahili kuchangamana na wanaume.
Ni mwanamke ndio anaenda kwa mganga kutafuta dawa za mapenzi. Mwanaume anaenda kutafuta dawa za biashara
Ndio maana mnateseka na mapenzi vijana wa siku hizi wakati kuna njia za jadi😇Hata kama ni mshauri mmbovu?
Si kila kitu wazee wanafanya can work for you especialy zama hizi. Plus kutumia ushirikina kumshika mtu wako it a bad move
huyo mzee alikua anajaribu kukuvuta ili uingie kwenye18 zake akupige pesa ya maana.Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi..
Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa vijana wa siku hizi wanateswa na mapenzi wakati uchawi wa mapenzi upo. Kumchomea mwanamke anakufuata mwenyewe na kumdhibiti kwako asitoke nje ya ndoa maisha yake yote.
Anasema mwanamke huwezi Kukaa nae bila kumdhibiti kwa uchawi.. Wenzake wakawa wanaongea kuonyesha kwamba ni jambo la kawaida. Ndivyo inavyo kuwaga hivi? Je uchawi wa mapenzi kweli upo?

Hahahaha 😂 ngoja nichukue ili nikumalize kabisa,nishachoka😂😂😂Chukua ushauri wa wazee!wameona mengi
Hii njia nataka niitumie kwako ,mambo yasiwe mengiNdio maana mnateseka na mapenzi vijana wa siku hizi wakati kuna njia za jadi😇
🤣🤣😅😅😅noma sana
Nimewakuta kwenye maongezi wao kwa wao..huyo mzee alikua anajaribu kukuvuta ili uingie kwenye18 zake akupige pesa ya maana.
kuna wazee smart sana kwenye kupiga pesa kirahisi,
na hapo angeweza kukupa hata unga wa ugoro tu halafua anakwambia kila siku ukitaka kuoga hakikisha unanyunyuzia huo ugoro kwenye maji ya kuogea, ukitoka hapo hakuna pisi kali atakukataa![]()
Kuna jamaa boda boda mwenzetu alioa demu vidato vingi kichwani wakawa wanasumbuana kuna wazee wakamwambia hao tunaishi nao hivi....kwa namna flan nje nliona mambo iko 'swita swita' sikujua ni alizingatia ushauri au bas tu demu aliamua kutulia.Mzee anasema mwanamke anashawishiwa sana yes anaweza kukupenda lakini akatokea mjanja akakuwahi akamroga akaanza kukusumbua