Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

Skuizi mjini atuwaiti waganga ukiskia tu nipeleke kwa ostadh ujue kwisha ila haihusiani na dini mkuu
 
Uzi huu umenikumbusha mshkaji wangu wa vngunguti, mambo mengine alikua anafeli ila kwenye mambo ya mapenzi ni hatari sana, kikubwa tuu uwe na nguo ya muhusika
 
Hao wazee wapo sahihi, asilimia kubwa ya wanawake wa kanda za Pwani ndio wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji na lengo kubwa ni mapenzi na kulogana sio ndumba za kutusua maisha
kwa kifupi wanawake wa pwani bila kumdhibiti ujue atawahi yeye kunyunyizia limbwata
 
Back
Top Bottom