Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
sasa ww usipowasikiliza wazaz wako,uwasikilize wa kina nani?Aliyekuzaa na kukulea ndo mungu wako ktk dunia hii.Sikiliza na tii maneno ya wazaz wako na utabarikiwa.Usifate ushauri wa humu jf sabab wanaokushauri uoe ni wanawake wa kutoka huko.Lakin hawafai kama wazaz wako walivyokushauri.
Yani wazazi wameshaishi maisha yao na bado wayaishi na maisha yako?

Hivi hao wazazi wangeambiwa kijana wao anatala kumuoa binti wa Mzee Mengi wangekataa? na Mengi ni mmachame, au binti wa Dr Charles Kimei je wangemkataa.

Ni mindset problems tu. Tuingilie maamuzi ya watoto pale tu palipo na sababu za msingi tena za wazi.

Mfano mwanao anataka kuowa hawa Bongo movie au Shilole hapo una haki ya kuingilia kati kumnusuru na kifo cha mapema mwanao.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nipo ktk mahusiano ya kimapenzi na binti wa kichaga kwa zaidi ya mwaka 1, bint ni mrefu kidogo kwangu na ni mwembamba afu maji ya kunde, ni mkristo na mpenda Mungu. Huyu bint nampenda sana nae ananipenda na kunijar, amekuwa mshauri wangu. Lakini jambo linalotesa akili yangu ni kwamba familia yetu hawawapendi kabisa wachaga kwa madai kwamba wachaga wanapenda sana kuwashika maskio wanaume (kuwatawala) , pia wachaga wanatabia ya kutaka mume ajenge na kupeleka pexa uchagan na sio kwa mama ake mzazi. Mpaka sasa nipo njia panda, mtoto namuelewa sana nae ananielewa sana lakn mtihan upo kwenye familia yangu. Mnisaidie wadau, nifanye nini ktk hili suala?
Wazazi wako wanajua Sana, sasa wanasema asiye sikia la mkuu.......
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?
Mchagga ni mchagga hakuna cha kibosho, machame au marangu..... Sasa kama wameru mnawaogopa ndugu zenu sisi tufanyeje? Teh teh.... Oa bana wachagga hawana shida kwa wameru wanajua mziki wenu.

NB, binti mzuri wa kichagga ni yule ambaye hajaenda shule au ana miaka 45 +

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunafeli kujiandaa mitihani haina miujiza-G.Nako warawara.

Mtoa mada kauliza hivi "Ni nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga??".Sasa sisi tunajibu nini??

Katika Biblia kuna ushahidi kuwa Samson alipuuzia Ushauri wa Ndugu zake na kwenda kumuoa Mfilisti (Dellilah),Na kilichomtokea sote tunajua.

Wakati mwingine haya mambo hayajakaa kikabila kama Fikara zetu zinavyodhani,Wazazi wameona mengi kabla yako na wanachokushauri hakika kina mantiki kuliko unavyodhani (Nb;Sio kila ushauri wa Wazazi ni sahihi) na hawawezi kukuelekeza shimoni hata siku moja.

Muoe Mmeru ndugu yangu,Huo ndio ushauri wangu.Mwisho wa siku SERIKALI YA MTU NI KICHWA CHAKE MWENYEWE.
Mtumishi kunywa juice ya Mango, nakuja kulipa soon.
 
Bora udate na mchaga wa aina yoyote na si mmachame wewe utakufa uache ndg wanakulilia na mali anasepa nazo na watoto wazaz wako hawatawaon kamwe
Hakuna binti wa kichagga nafuuu, mchagga mzuri ni yule aliyekufa. Finito
 
Nimedate sanaaa wachaga mkuu, but may be, may be unaweza ukaniprove wrong
Ume date haujaoa kumbe? In my life nime date ladies wa kichagga Zaid ya 30. They are very humble and good people. Wakipenda wanapenda kweli. Tatizo ukishao sasa, sijui huwa wanabadilika kama wanasiasa.... Kuna ka spirit ka UKUMA ( Umoja wa Kuvuna Mali) kichwan kwa dadaz wa kichagga.
 
Ivi wachagga wanatatizo gani?
Mbona threads za wanaokataliwa humu wengi ni wachagga?
Mi niko na mwanaume mchaga!!! Mnanitisha
Wanaume wa kichagga hakuna sheedah saaaafi kabisa, tatizo wadada ni sheedah...... Utafikiri walitumwa kufanya harakat kwenye ndoa, wanaleta Habari za UKUTA kwenye ndoa teh teh
 
Binafsi mama yangu alikuwa kipingamizi sana nisioe mchaga ila nlisimamia maamuzi yangu na mpaka leo nipo na mchaga wangu mwaka wa kumi sasa. huyu huyu mchaga ambae mama alikuwa hamtaki kwa maneno ya kuambiwa leo hii ndiyo kila kitu kwake tena ilifikia mahali mama alimuomba msamaha binti wa watu. tabia ya mtu ni mtu mwenyewe havina uhusiano na kabila lake
Wachagga wapo very strategic, tatizo sio dadaz bali pressure wanayoipata kutoka kwa family members.... Tabia mbaya ni hulka ya mtu... Lakin aliyewafunda Akina Mangi kupenda pesa na Akawapa weupe ameleta sheedah jijini. Kuna ndugu zao wakikuyu Kenya... Hawa walitoka sehemu moja teh teh.... Lakin ukitaka kujua wachagga sio wajinga, angalia wanaume wanaowaoa wachagga utajua these guys are very strategic. Unaangalia after ten years utakuwa wapi. Mchagga anaangalia 30 yrs mtakuwa na nini na yeye atakuwa na nini? . Pale akikuliza you are completely finished... Yani umetafunwa na hawakii kukuambia watoto ni wa Dr Temu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakosa watoto, na historia ndio imekuwa imeisha hapo. Ukitaka mfano hai kabisa wa current incident ya Hawa watu nitafute ni pm nkupeleke kwa Kaka angu tumbo moja. Senior officer kwenye reputable organisation nchini, very smart Man hapa hapa dar akupe full picture njisi walivyo mfusalo..... Weka Mbali kabisa na wanaume sweet mangi hawa. Usipokuwa gaidi utajinyonga.
 
Ume date haujaoa kumbe? In my life nime date ladies wa kichagga Zaid ya 30. They are very humble and good people. Wakipenda wanapenda kweli. Tatizo ukishao sasa, sijui huwa wanabadilika kama wanasiasa.... Kuna ka spirit ka UKUMA ( Umoja wa Kuvuna Mali) kichwan kwa dadaz wa kichagga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka mpaka majirani wameamka
 
Kama wewe ni Mmeru wa pale Sing'si...hata aje mtu wa kabila gani hakwambii kityu
 
Kuna jamaa yangu kakayao alioa mchaga ...jamaa alikuwa mfanyabiashara yule amke alimfilishi alafu akamkimbia ikaja gundulika mke anabonge la mjengo moshi kwa pesa za jamaaa. Ndoa ikafa. Hata mimi sioi mchaga
 
Kama wewe mwenyewe bado unauliza eti " nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga" naona hauko tayari kuoa bado unafanya window shopping....
 
Zifuatazo ni baadhi ya vigezo vya kuoa mchaga..#1 .Uwe na kazi/biashara ya uhakika.#2 .Uwe na malengo kimaisha ambayo yanatekelezeka
#3 .Uwe na upendo wa kweli.
#4 .Uwe tayari kwenda Moshi kila mwisho wa mwaka.
#5 .Uwe na wivu wa maendeleo
#6 .Uwe msikivu kwa mkeo anapokushauri ni lazima ukubaliane nae kwa zaidi ya 80%..n.k
Usimzuie kuwa na mapedejee wanao kuzidi kifedha usiwe na wivu uwe unamtii yeye ukiweza na haya utaishi hai
 
Na akitaka kujua sweet mankas ni nouma haolewi na mtu ambaye ni goi goi(hana future ya maana).Hawapendagi ujinga hawa jamaa.Nakushauri uwasikilize wazazi coz lv z blind.Wao wapo nje ya mchezo so wanauona vizuri zaidi.
 
Yani wazazi wameshaishi maisha yao na bado wayaishi na maisha yako?

Hivi hao wazazi wangeambiwa kijana wao anatala kumuoa binti wa Mzee Mengi wangekataa? na Mengi ni mmachame, au binti wa Dr Charles Kimei je wangemkataa.

Ni mindset problems tu. Tuingilie maamuzi ya watoto pale tu palipo na sababu za msingi tena za wazi.

Mfano mwanao anataka kuowa hawa Bongo movie au Shilole hapo una haki ya kuingilia kati kumnusuru na kifo cha mapema mwanao.
usipomsikiliza mzaz wako,umsikilize nani?huyo mengi na kimei kuna umuhim gani wa kuoa hapo?Ndoa ni zaid ya pesa,ukitanguliza pesa kwenye maisha yako kila kitu utaona sio saiz yako na ndoa haitadumu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom