Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
mm mchaga najuta kuoa mngoni ,kama kuna binti matata na mrembo wa kichaga hasa machame au mmarangu nipm tuyajenge mama I love wachaga soooo much
Nipe uzoefu WA wangoni nijipange mapema
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nipo ktk mahusiano ya kimapenzi na binti wa kichaga kwa zaidi ya mwaka 1, bint ni mrefu kidogo kwangu na ni mwembamba afu maji ya kunde, ni mkristo na mpenda Mungu. Huyu bint nampenda sana nae ananipenda na kunijar, amekuwa mshauri wangu. Lakini jambo linalotesa akili yangu ni kwamba familia yetu hawawapendi kabisa wachaga kwa madai kwamba wachaga wanapenda sana kuwashika maskio wanaume (kuwatawala) , pia wachaga wanatabia ya kutaka mume ajenge na kupeleka pexa uchagan na sio kwa mama ake mzazi. Mpaka sasa nipo njia panda, mtoto namuelewa sana nae ananielewa sana lakn mtihan upo kwenye familia yangu. Mnisaidie wadau, nifanye nini ktk hili suala?
Asiye sikia la mkuu huvunjika guu.
 
Mm mwenyewe nilikuwa na mdete mwanaume wa kisukuma, cku moja nimeenda kuonana na mamake akawaanawaponda wachaga vibaya bila kujua mm ni mchaga nilijiskia vibaya bt nika pretend normal, nikawa namuuliza maswal kijanja juu ya wachaga bado anaponda anasema ukioa mchaga au kufanya biashara na mchaga lazma akuuwe, so anqmtaadharisha mwanae acje oa mchaga, nilivyosepa nikamwambia boyfriend wangu tukaacha, cz anampenda sanaa mamake and baba yao alishafariki so yy ndo first born na hapend kumkera mamake
Hukumpenda kwa dhati ulimuacha kirahisi rahisi tu.
 
Mm ctak kulazimisha mambo yasiyowezekana, nikakataliwa ukweni cwez kulazimisha kabisaa, bora tuachane kwa amani
Nimekupenda wengine ni ving'ang'anizi hatari.
Hawapendi kuwapoteza wapenzi wao hasa kukiwa na mgongano wa mitazamo.
 
Wenzio tulioana wazazi wana shaka sasamwaka wa 34 je unafikiriaje? Wazazi wenyewe aibu mpaka wanajuta kutamka hayo. Amua kwa roho yako siyo ya wazazi unless huna mapenzi ya dhati.
 
Oa umpendaye kwa roho yako mana we we ndo utaishi naye na sio wazazi. Mbona hata wameru ni wajeuri kuliko hata Wachaga.
Narrow Thinking!!

Kwani mtoa mada kazungumzia Ujeuri?? Kauliza hivi,Ni nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga??.
 
Oa Mpare.
ukabila kataaaa hyo

udini kataaaaa hyo
nna dadaangu muhaya nikupe?
wakati mwingine usipokuwa mkali na kuonyesha kuwa unataka unachotaka, kila mtu atakuyumbisha na hutakuwa na maamuzi binafsi. Hatuoi kabila miaka hii. Hata hivyo kabila lako na hao wachagga hamjapishana sana kitabia (kama ni ukorofi hata wameru ni wakorofi sana).
Simamia uamuzi wako na onyesha kuwa unamaanisha..
Mambo yakizamani hayo,

Tunafeli kujiandaa mitihani haina miujiza-G.Nako warawara.

Mtoa mada kauliza hivi "Ni nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga??".Sasa sisi tunajibu nini??

Katika Biblia kuna ushahidi kuwa Samson alipuuzia Ushauri wa Ndugu zake na kwenda kumuoa Mfilisti (Dellilah),Na kilichomtokea sote tunajua.

Wakati mwingine haya mambo hayajakaa kikabila kama Fikara zetu zinavyodhani,Wazazi wameona mengi kabla yako na wanachokushauri hakika kina mantiki kuliko unavyodhani (Nb;Sio kila ushauri wa Wazazi ni sahihi) na hawawezi kukuelekeza shimoni hata siku moja.

Muoe Mmeru ndugu yangu,Huo ndio ushauri wangu.Mwisho wa siku SERIKALI YA MTU NI KICHWA CHAKE MWENYEWE.
 
We oa tu lakini jiandae kuuliwa mapema watoto wenu wakishakua na kujitegemea. Kwa Mchaga we utakuwa chasaka tu hata ufanyeje. Wasikilize wazazi wako!

Na kwanini kijana asiwasikilize wazee wake?? Hakumbuki stori za Samsoni kwa Dellilah,Samson aliulizwa Je ulimkosa wa kumuoa mpaka umuoe mfilisti??

Hawa wanaosema ukabila (Narrow Thinking),Je biblia ina ukabila?? Mambo mengine huwa ni ujuaji tu ila hatuna lolote.

Ujanja mbele,Nyuma giza.Nakuelewa sana SHIMBA YA BUYENZE.
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?

Wasikilize wazee wako wewe!! Nenda kaoe Mmeru.

Nb;Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe.
 
Na kwanini kijana asiwasikilize wazee wake?? Hakumbuki stori za Samsoni kwa Dellilah,Samson aliulizwa Je ulimkosa wa kumuoa mpaka umuoe mfilisti??

Hawa wanaosema ukabila (Narrow Thinking),Je biblia ina ukabila?? Mambo mengine huwa ni ujuaji tu ila hatuna lolote.

Ujanja mbele,Nyuma giza.Nakuelewa sana SHIMBA YA BUYENZE.
Tungefuata Biblia basi wengi wetu humu tusingekuwemo maana nina uhakika wengi wetu ni matokeo ya miungano ya makabila, dini, rangi mbali mbali ambazo wengi wetu tumekua na kukulia na tumeweza nasi kuanzia familia zisizo na huo utengano ingawa mambo hayo yapo ila moyo hauchaguliwi ni mtu kumchunguza mwenzie na kuamua. nimeshajieleza sirudii tena kuhusu experience yangu na mwenzangu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nipo ktk mahusiano ya kimapenzi na binti wa kichaga kwa zaidi ya mwaka 1, bint ni mrefu kidogo kwangu na ni mwembamba afu maji ya kunde, ni mkristo na mpenda Mungu. Huyu bint nampenda sana nae ananipenda na kunijar, amekuwa mshauri wangu. Lakini jambo linalotesa akili yangu ni kwamba familia yetu hawawapendi kabisa wachaga kwa madai kwamba wachaga wanapenda sana kuwashika maskio wanaume (kuwatawala) , pia wachaga wanatabia ya kutaka mume ajenge na kupeleka pexa uchagan na sio kwa mama ake mzazi. Mpaka sasa nipo njia panda, mtoto namuelewa sana nae ananielewa sana lakn mtihan upo kwenye familia yangu. Mnisaidie wadau, nifanye nini ktk hili suala?
sasa ww usipowasikiliza wazaz wako,uwasikilize wa kina nani?Aliyekuzaa na kukulea ndo mungu wako ktk dunia hii.Sikiliza na tii maneno ya wazaz wako na utabarikiwa.Usifate ushauri wa humu jf sabab wanaokushauri uoe ni wanawake wa kutoka huko.Lakin hawafai kama wazaz wako walivyokushauri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom